martin ben
Senior Member
- Sep 29, 2015
- 121
- 110
Sisi tutapata mbadala wa kocha je nyie B20 zitakua zimeshaingizwa ktk account ya Simba?Sasa acha na sisi tujadili mambo yenu kama wewe unavyojadili ya Simba.
Sisi tutapata mbadala wa kocha je nyie B20 zitakua zimeshaingizwa ktk account ya Simba?Sasa acha na sisi tujadili mambo yenu kama wewe unavyojadili ya Simba.
hana kosa wachezaji viwango duni we jiulize wachezaji wa kigeni wa yanga walioitwa kwenye timu zao za taifa ni wangapi?hivi tuwe wazi kosa la yule kocha mzungu ni lipi?!
Mawazo kama haya ndo inasababisha watu wenye busara zao kuachana na soka la bongo na kubakia kuwa watazamaji na wapenda soka tu.hana kosa wachezaji viwango duni we jiulize wachezaji wa kigeni wa yanga walioitwa kwenye timu zao za taifa ni wangapi?
kocha wa dharura ni huyu ama ni yule aliekupeni majina ambayo hamkuyapenda mkamtimuaNafikiri hakuwa chaguo la kwanza alikuja kwa dharura baada ya yule mburundi kuwa amezingua ikabidi atafutwe kocha kwa udharura bila vetting ya kutosha
Inaelekea una uzoefu wa mechi nje ya uwanjaKibongo bongo hutakiwi kushangaa,timu inafanya vizuri kwa mara ya kwanza tena kipindi cha pili baada ya misuko suko ya kutosha,kisha unasikia kocha amefukuzwa.
Nini kipo nyuma ya maamuzi haya?
Watu waliona ili watengeneze mazingira ya kushawishi wapenzi wa Yanga wajae siku ya mechi ya tarehe 18,ilikuwa muhimu yanga kushinda leo.
Mpaka sasa yanga wana amini watashinda mechi ya Simba pia.Wamejinasibu ukuta mgumu,ila hawakuangalia ni nani alikuwa akicheza nao.
Kwa hiyo ilibidi mchezo uchezwe nje ya uwanja baada ya kuona kocha ameshindwa kuleta matokeo.
Hongera gsm.
Mo safi inazamini namungo akifugwa na simba mnakuaga mmehonga ufinyu wa fikra na ushabiki maandazi unakuponza sio bureGSM Foam(Yanga) Vs. GSM coconut (Costal union).
Rudi shule ukasome namna ya kuandika vizuri kwanza EboooUo ukuta ndio uliocheza na mtibwa sugar na hukufugwa gori hata moja ikiwa timu yako ilifugwa na mtibwa sasa unabeza nini sasa ukuta wa yanga unajitahidii na wanashambuliwa kweri kweri na wanajua kuzuia angalia hata gem na mtibwa wape sifa zao acha ushabikii
Mtibwa si mlipaki basi baada ya goliUo ukuta ndio uliocheza na mtibwa sugar na hukufugwa gori hata moja ikiwa timu yako ilifugwa na mtibwa sasa unabeza nini sasa ukuta wa yanga unajitahidii na wanashambuliwa kweri kweri na wanajua kuzuia angalia hata gem na mtibwa wape sifa zao acha ushabikii
Unaaachana na soka la bongo unashabikia soka gani?Mawazo kama haya ndo inasababisha watu wenye busara zao kuachana na soka la bongo na kubakia kuwa watazamaji na wapenda soka tu.
Mbona humalizii ilifungwa 4 kwa moja federation tena ikatolewakumbuka yanga mbovu ilishachomoa goli2 za yanga,ngoma ikaenda droo,yanga mbovu ikaipiga Simba kamoja,
Kwa serikali ip? Ya JPM. Kwa TFF ip? Huu sio utawala wa mkwere JK na rafiki yake MALINZI. Zama zenu hz kuumizwa. Mtakerwa snTarehe 18 ndio kidomodomo cha mbumbumbu fc kinakwenda kukoma kabisa katika msimu huu, kitakacho fuatia ni malalamiko tu.
Uo ukuta ndio uliocheza na mtibwa sugar na hukufugwa gori hata moja ikiwa timu yako ilifugwa na mtibwa sasa unabeza nini sasa ukuta wa yanga unajitahidii na wanashambuliwa kweri kweri na wanajua kuzuia angalia hata gem na mtibwa wape sifa zao acha ushabikii
Ni Kama vile kanjibai hajaweja 20 bil kwa ,wanopiga kelele, kulalamika ni fans wa wa jangwani.Kocha aliyevunjiwa mkataba ni wa yanga cha ajabu wanaoumia ni simba, waache yanga ijiamulie mambo yao.
Hapana.Uo ukuta ndio uliocheza na mtibwa sugar na hukufugwa gori hata moja ikiwa timu yako ilifugwa na mtibwa sasa unabeza nini sasa ukuta wa yanga unajitahidii na wanashambuliwa kweri kweri na wanajua kuzuia angalia hata gem na mtibwa wape sifa zao acha ushabikii