wana diaspora mnatoa mchango gani kwa hili

computerkiddy

JF-Expert Member
Oct 1, 2015
488
535
habari wanajf na madiaspora wote kutoka usa,canada,uk,australia,new zealand,singapore etc
kuna hiki kitu ambacho wenzetu wahindi wametuacha mbali linapokuja suala la elimu

kuna program maalum ya study abroad program ambapo mhindi akitaka kusoma nje ya india kama usa just kuna institutions ambazo zinatoa student loan kwa ajili ya kugharamia gharama zote zote za masomo then loan inarejeshwa baada ya mlengwa kumaliza masomo yake mlengwa hurejesha taratibu kulingana na kazi anayoifanya

kupata student loan kwa ajili ya kusoma abroad kama usa kwa international students ni somehow difficult kwani lazima uwe na mtu ambaye ni us citizen au permanent resident in us ambaye ana good credit scorekwa ajili ya ku co sign the loan,hasa hapo diasporas ndo mchango wenu unahitajika anzishen hata NGOS kwa ajili ya ku co sign student loan za watanzania wenzenu
 
Back
Top Bottom