Wengine ni walevi wa dauni. Niwataje?
Wote wamefanya jambo la kijinga kasoro Preta natamani niwepo
Wengine ni walevi wa dauni. Niwataje?
Kitaje kabla wanga hawajaanza kutabiri
Kwa haka kachupa kamoja ...walaa mimi si mmoja wao
Wengine ni walevi wa dauni. Niwataje?
sinywi pombe ila na kilevi changu special
Wengine ni walevi wa dauni. Niwataje?
sinywi pombe ila na kilevi changu special
tobaaaaaaaa napita
Ukitaka kuwajua walevi wewe angalia post za watu zinoandikwa baada ya saa sita usiku hasa weekend.Ikifika Ijumaa wanabaki wachache kwenye forum...wote wanakimbilia gambe. Sibahatishi nawajua baadhi yao Asprin, Erickb52, Preta, Kongosho... tena huyu ndiye pampula kabisa anapiga mpaka nyagi.
Bishanga kaacha baada ya kusikia inapunguza heshima ya nyumba. Madame B sijawahi msikia kwenye vikao vya ulabu. Ila nina uhakika na Mphamvu huyu ni mlevi wa kupigiwa mfano anaweza kuweka rehani hata demu wake..Halafu akilewa anajifanya anajua sana kiswahili na kupiga misamiati ya kizamani!!
Hivi mwigulu nchemba hayumo humu chitchat!