Fernando Wolle
JF-Expert Member
- Aug 19, 2022
- 387
- 775
Kufuatia hatua za Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kumpa likizo Mch. Dr. Eliona Kimaro kutokana na Kanisa hilo kutoridhishwa na mwenendo wa Mchungaji huyo ambao bila shaka maamuzi hayo yametokana na taratibu na kanuni za kanisa.
Sasa basi Wanachadema wamenunua Kesi, sasa sio kesi ya Mch. Kimaro tena bali imekuwa ya Wanachadema na Mamlaka ya KKKT iliyotoa maagizo hayo.
Wanachadema wengine wamefika mbali zaidi na kupendekeza Mch. Dr. Eliyona Kimaro afungue kanisa lake tu kuepuka masuala ya kupewa maonyo na uongozi wa KKKT.
Swali kwa Wanachadema,Hivi Mch. Dr. Eliona kupewa likizo ya siku 60 nyie ni kitu gani kinachowauma na kudai kwamba ameonewa wakati uongozi wa kanisa ndio uliojiridhisha kufikia maamuzi hayo?
Je, tuamini kwamba Mch. Eliona Kimaro anatumika kisiasa na Wanachadema?
Je, Wanachadema wana mamlaka gani ya kutaka kushinikiza uingozi wa KKKT kufanya maamuzi wanayotaka wao kupitia haki yao ya kutoa maoni? Na je ni kwanini ni Wanachadema tu ndio wameumia zaidi na kujitoa hadharani?
Kama wanachama wa vyama vingine walivyotulia, Kwanini na Wanachadema msitulie mkaliachia kanisa la KKKT ambalo ndilo linalojua masuala yote ya kiutaratibu ndilo lenye mamlaka?
Huu ni mdahalo huru naomba uzi huu wenye maoni tofauti uheshimiwe. Nawasilisha Karibuni kwa mjadala.