Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,485
- 96,050
Wana bodi sisemi kwa kubahatisha bali kwa ushahidi kamili,mtakumbuka cdm ilipo mfukuza zzk kutoka CHADEMA alihama na kundi la vijana tegemeo ndani ya CHADEMA na watu wakawa wanasema kuwa huo ndio mwisho wa CHADEMA kisiasa hasa baada ya kuanzishwa kwa ACT.
Kwa umoja wetu wanaCHADEMA tuliwatabiria wote walio ikimbia CHADEMA kwa usaliti kuwa mwisho wao ni kusambaratika,na leo hii tunaiona ACT inavyo pukutika kwa kuondokewa na wale walio onekana kuwacha pengo CHADEMA.
Hili liwe ni fundisho tosha kwa wana siasa vijana kuwachana na siasa za kufuata mkumbo. Poleni sana ACT