Wana CHADEMA kwa utabiri tunatisha

Kwa wenye akili wanaielewa vyema cdm na sera zao bora kuliko chama chochote hapa Tanzania ndio maana mamilioni ya watanzania waliichagua
Mamilioni gani ya kura mkuu? Mbona tunataka kujitekenya na kucheka wenyewe. Kama CDM ingepata Mamilioni Magufuli angekua mpole maana angedhibitiwa bungeni lakini kama unadhani kushika nchi ni kushika kiti cha urais tu basi rudi tena kajitahidi kusoma siasa upya. CDM mwaka jana ilichemka kumpitisha EL walitakiwa wamtumie kupata viti vingi bungeni lakini tatizo Lowassa agenda yake ilikuwa awe rais hata kama serikali yake Ingekuwa na wabunge wachache. Jifunze kwa Democratic Party na Obama Republican walimdindia mpaka uteuzi wa judge. Tunapiga soga humu kama tumekuwa walevi na kuitana makamanda bila hata kuijua katiba yetu safari yetu ni ndefi sana kama hatuelezani ukweli na kubaki kushabikia ujinga uwe ccm ama cdm. hakuna nchi ambayo upinzani umeshinda na mikakati ya kichovu kama hii ya kina Mbowe na wenzake. CCM ina uzoefu wa hizo operation kama hiyo Kata Funua upinzani wataiona mwaka 2019 na upinzani utakatafunuliwa sana maana wanawapatia ujanja ccm
 
ccm kuna wezi waliokua wanaiba na hao watu wawili. tukiwapeleka hao nchi itatikisika kwasababu itabidi tuwapeleke na walioko huku. kifupi uishi ukijua kuwa, hata kama hawatapelekwa mahakamani lakini sio safi hao.
Nimecheka kwa dharaaaauuuuuuuuuu
 
Mamilioni gani ya kura mkuu? Mbona tunataka kujitekenya na kucheka wenyewe. Kama CDM ingepata Mamilioni Magufuli angekua mpole maana angedhibitiwa bungeni lakini kama unadhani kushika nchi ni kushika kiti cha urais tu basi rudi tena kajitahidi kusoma siasa upya. CDM mwaka jana ilichemka kumpitisha EL walitakiwa wamtumie kupata viti vingi bungeni lakini tatizo Lowassa agenda yake ilikuwa awe rais hata kama serikali yake Ingekuwa na wabunge wachache. Jifunze kwa Democratic Party na Obama Republican walimdindia mpaka uteuzi wa judge. Tunapiga soga humu kama tumekuwa walevi na kuitana makamanda bila hata kuijua katiba yetu safari yetu ni ndefi sana kama hatuelezani ukweli na kubaki kushabikia ujinga uwe ccm ama cdm. hakuna nchi ambayo upinzani umeshinda na mikakati ya kichovu kama hii ya kina Mbowe na wenzake. CCM ina uzoefu wa hizo operation kama hiyo Kata Funua upinzani wataiona mwaka 2019 na upinzani utakatafunuliwa sana maana wanawapatia ujanja ccm
Wenye uelewa wameshaelewa
 
Hakuna tofauti kati ya act na ccm
lakini unajua kkuwa act wazalendo na ccm ndio vyama vyenye mwelekeo kwa sasa, icho cha kwenu kimeshanunuliwa na mafisadi waliofukuzwa/kimbia sisiemu.
 
Wana bodi sisemi kwa kubahatisha bali kwa ushahidi kamili,mtakumbuka cdm ilipo mfukuza zzk kutoka CHADEMA alihama na kundi la vijana tegemeo ndani ya CHADEMA na watu wakawa wanasema kuwa huo ndio mwisho wa CHADEMA kisiasa hasa baada ya kuanzishwa kwa ACT.

Kwa umoja wetu wanaCHADEMA tuliwatabiria wote walio ikimbia CHADEMA kwa usaliti kuwa mwisho wao ni kusambaratika,na leo hii tunaiona ACT inavyo pukutika kwa kuondokewa na wale walio onekana kuwacha pengo CHADEMA.

Hili liwe ni fundisho tosha kwa wana siasa vijana kuwachana na siasa za kufuata mkumbo. Poleni sana ACT
Nimesoma kwa haraka kweli, kumbe hamna kitu!!
 
lakini unajua kkuwa act wazalendo na ccm ndio vyama vyenye mwelekeo kwa sasa, icho cha kwenu kimeshanunuliwa na mafisadi waliofukuzwa/kimbia sisiemu.
R.i.p faru john
 
Mamilioni gani ya kura mkuu? Mbona tunataka kujitekenya na kucheka wenyewe. Kama CDM ingepata Mamilioni Magufuli angekua mpole maana angedhibitiwa bungeni lakini kama unadhani kushika nchi ni kushika kiti cha urais tu basi rudi tena kajitahidi kusoma siasa upya. CDM mwaka jana ilichemka kumpitisha EL walitakiwa wamtumie kupata viti vingi bungeni lakini tatizo Lowassa agenda yake ilikuwa awe rais hata kama serikali yake Ingekuwa na wabunge wachache. Jifunze kwa Democratic Party na Obama Republican walimdindia mpaka uteuzi wa judge. Tunapiga soga humu kama tumekuwa walevi na kuitana makamanda bila hata kuijua katiba yetu safari yetu ni ndefi sana kama hatuelezani ukweli na kubaki kushabikia ujinga uwe ccm ama cdm. hakuna nchi ambayo upinzani umeshinda na mikakati ya kichovu kama hii ya kina Mbowe na wenzake. CCM ina uzoefu wa hizo operation kama hiyo Kata Funua upinzani wataiona mwaka 2019 na upinzani utakatafunuliwa sana maana wanawapatia ujanja ccm
Mkuu naona una jazba sana ila nachoshangaa unafkiri upinzani kweli kila uchaguzi tunaanguka?? Hvi hta alichofanyiwa maalim seif hukioni??

Upinzani umejijenga hasa kupitia operation hizo ambazo unazikejeli ila kma unakumbuka M4C sijui sangara na pamoja daima zote zilizaa matunda sana maana zilitusaidia kufikisha sera zetu kwa wananchi.

Kuhusu bunge hta kma tuko wachache kuliko ccm (assuming hatujaibiwa) ila lazma uelewe kuwa rome haikujengwa kwa siku moja so tulianza na wabunge wa 3 pekee kma chadema ila leo hii tuna wabunge wengi sana ssa ukilinganisha na ccm ambayo kura zao hta za ubunge zinapungua sana kila uchaguzi ssa hapo huoni kuna hatua imepigwa???

Hoja yangu ni kwamba upinzani upo vzur na umejipanga sema watawala wameminya demokrasia ndio maana mnaamnishwa kuwa tuliambulia kura chache na wabunge wachache ila trust me uchaguzi ungekuwa huru na haki kama marekani leo hii ccm ingekuwa na wabunge wasiozidi 50% ya bunge zima.
 
Asante sana mkuu kwa kumwaga madini adimu kwa huyo mwana lumumba ingawa kukuelewa ni hadi aruhusiwe na ofisi kuu
 
Mkuu naona una jazba sana ila nachoshangaa unafkiri upinzani kweli kila uchaguzi tunaanguka?? Hvi hta alichofanyiwa maalim seif hukioni??

Upinzani umejijenga hasa kupitia operation hizo ambazo unazikejeli ila kma unakumbuka M4C sijui sangara na pamoja daima zote zilizaa matunda sana maana zilitusaidia kufikisha sera zetu kwa wananchi.

Kuhusu bunge hta kma tuko wachache kuliko ccm (assuming hatujaibiwa) ila lazma uelewe kuwa rome haikujengwa kwa siku moja so tulianza na wabunge wa 3 pekee kma chadema ila leo hii tuna wabunge wengi sana ssa ukilinganisha na ccm ambayo kura zao hta za ubunge zinapungua sana kila uchaguzi ssa hapo huoni kuna hatua imepigwa???

Hoja yangu ni kwamba upinzani upo vzur na umejipanga sema watawala wameminya demokrasia ndio maana mnaamnishwa kuwa tuliambulia kura chache na wabunge wachache ila trust me uchaguzi ungekuwa huru na haki kama marekani leo hii ccm ingekuwa na wabunge wasiozidi 50% ya bunge zima.
Asante sana mkuu kwa kumwaga madini adimu kwa huyo mwana lumumba ingawa kukuelewa ni hadi aruhusiwe na ofisi kuu
 
Wana bodi sisemi kwa kubahatisha bali kwa ushahidi kamili,mtakumbuka cdm ilipo mfukuza zzk kutoka CHADEMA alihama na kundi la vijana tegemeo ndani ya CHADEMA na watu wakawa wanasema kuwa huo ndio mwisho wa CHADEMA kisiasa hasa baada ya kuanzishwa kwa ACT.

Kwa umoja wetu wanaCHADEMA tuliwatabiria wote walio ikimbia CHADEMA kwa usaliti kuwa mwisho wao ni kusambaratika,na leo hii tunaiona ACT inavyo pukutika kwa kuondokewa na wale walio onekana kuwacha pengo CHADEMA.

Hili liwe ni fundisho tosha kwa wana siasa vijana kuwachana na siasa za kufuata mkumbo. Poleni sana ACT
Ni kweli, wana chadema wanajua kutabiri sana.
Hata siku mzee Lowassa kachukua fomu ya kugombea urais kupitia ccm wanachadema wengi wakiongozwa na Yeriko na Lissu walitabiri kwa maneno makali kuwa Lowassa hawezi kuwa rais wa nchi hii na utabiri wao ukatimia.
Msinipige mawe makamanda nawasifia tu ujuzi wenu na jukwaa hili lina ushahidi tosha.
 
Ungekuwepo idodomya siku hiyo wala usingeongea hayoa maneno
 
Wana bodi sisemi kwa kubahatisha bali kwa ushahidi kamili,mtakumbuka cdm ilipo mfukuza zzk kutoka CHADEMA alihama na kundi la vijana tegemeo ndani ya CHADEMA na watu wakawa wanasema kuwa huo ndio mwisho wa CHADEMA kisiasa hasa baada ya kuanzishwa kwa ACT.

Kwa umoja wetu wanaCHADEMA tuliwatabiria wote walio ikimbia CHADEMA kwa usaliti kuwa mwisho wao ni kusambaratika,na leo hii tunaiona ACT inavyo pukutika kwa kuondokewa na wale walio onekana kuwacha pengo CHADEMA.

Hili liwe ni fundisho tosha kwa wana siasa vijana kuwachana na siasa za kufuata mkumbo. Poleni sana ACT

kweli aiseee, wanachadema kwa utabiri ninawaaminia sana, nyie ni wataalamu sio mchezo.

sasa naomba mnitabirie basi Ben Saa8 ataonekana lini wakuu.?

je, atakuwa hai au marehemu.? nasubiri utabiri wenu wataalamu wa utabiri wana CDM.
 
Back
Top Bottom