Wana CCM wanaoweweseka na Lowassa

Wana CCM wanaoweweseka na Lowassa

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,707
Magazeti yaleo hasa Nipashe imebeba ujumbe wa wana CCM kwa makundi wakiomba Lowassa achukue form ya kugombea urais na wengine kumchangia kabisa sh million mbili kwa ajili ya kuchukua form hiyo.
Hakika wanaCCM hawa wanaweweseka kwani Lowassa hafai kuwa rais kwa sababu kuu 2

  1. Mtu anayejitajirisha kwa kutumiaofisi ya uma hafai kuwa kiongozi kwa sababu siyo mfano wa kuigwa( a role model), hakuna kitu kinaitwa utajiri wa asili, hata akiuza ngombe zake zote na za wamasai wengine hawezi kununua nyumba London.
  2. Pili umri ule na afya ile niyakumalizia urais , siyo kuanza urais.
Wana CCM tulieni chama chenu kimewatayarishieni kiongozi wa urais ambaye ni bora kabisa ambaye ataliongoza taifa hili na kulirudisha katika msingi yake waliyoiweka waasisi yaani utu wa mtu ni kazi na wala siyopesa
 
Bila Kusimamisha Lowasa Ccm Itakufa Kabisa Maana Hadi Sasa Inachechemea Maji Yako Mdomoni.
 
Back
Top Bottom