Wakifunguka siri za ndani ndiyo afya ya walaji wa habari.Mwaga nyongo mzee kwani ikakaandani ni kama sumu rudia vizuri ukikazia zaidi unamwachia nani hayo mengine.
Alafu usisahau kuchomekea c mbaya kwani hata Nyerere baba wa taifa aliwai kuwaelezea hao watani zake kuwa.. fafanua tu yote.
Alitoa ufahamuHivi ni Bashiru aliyefanya hivyo au JPM?
MATAGA wewe ukiamka hufatilii habari toka vyanzo vingine ni JF tu? Hii habari mbona ipo kote hata Darmpya wameripoti kwa kumnukuu muhusika! Na huyo katangulizwa tu, wanakuja wengi sana sana kueleza UNYAMA wa JIWE, Polepole na Bashiru.SEMENI TUUU KWAMBA NYIE MAKANJANJA YA HAPO UFIPANI NDO MNAHANGAIKA BILA KULALA MKIDHANI CHAMA DUME CCM KITABABAIKAA. MNATUNGA PROPAGANDA WENYEWEE HALAFU MNAJIPOST WENYEWEE. MTAPATA TAABU SAAANAA.
Sasa JPM yupoa?Hivi ni Bashiru aliyefanya hivyo au JPM?
Alitumwa na mwenyekiti wake JPMHivi ni Bashiru aliyefanya hivyo au JPM?