Hao wamasai hawana lolote, wachome tu, watake wasitake Raisi Magufuli amesema atawatetea wananchi wote, wale wa CCM na hata wa upinzani!!!
watu wenyewe hawajai hata kwenye kiganja, hawana hata effect hao watu wenyewe wanakalia kuchunga ngombe kula watapiga saaa ngapi za kanda ya ziwa zinatosha kabisa kumpa Dr magufuri uraisi
Chaikavu,sahihisha basi jiografia yako,KASKAZINI anatoka Pombe Magufuli,huko ni Kaskazini Mashariki.Pole nakusahihisha tu.
Vinginevyo waacheni waendelee kuzichoma ni haki yao ya msingi.
Ni hatari wanamsimamo hayo akina yeroo
hata wao walikuwa CCM, tusubiri tuoneBaba yao bado yuko CCM, wanajidanganya.
Kila kitu kinazaliwa na kinakua na kinakufa , ccm lazima ife wazaliwe wapya
Wasubiri tu kuongozwa na Tingatinga, mpaka nawaonea huruma!Fedha walizochukua wazirudishe!
Hata Slaa ya kwake bado anayoMbona Lowassa hajachoma yake bado?? Kweli hao ni wa kupuuzwa...wanatumika
Safari hii ni zamu ya Kanda ya Ziwa sio Kaskazini
Safari hii ni zamu ya Kanda ya Ziwa sio Kaskazini
Kwani kanda ya Ziwa ni Kusini???