Kama fisadi mmemteua kuwa mgombea Urais wenu hakika UKAWA yote inatawaliwa na mawazo ya kitaahiraNataka kujua kama wewe ni mwanaume au mwanamke,?kijana au mzee? Kuna uwezekano ukawa na roho ya kimaskini sana imekutawala,hivi kabisaaaaaa umeridhika na hali ya kiuchumi uliyonayo kulinganisha na rasilimali zilizopo,ungekuwa karibu yangu ningewapa mbwa wangu wakutafune
CCH hatujawahi kuhuzunika unapokuja uchaguzi. Siku zote tunakuwa wenye furaha na ushindi ni lazima
Wewe mbona ni CHADEMA.. mkononi ccm moyoni Ukawa.. Haya banaKunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.
CCM tunakisaidia chama chetu kwa vile tunakipenda. Si kama akina Mbowe wapo CHADEMA kutokana na maslahi binafsi.Nyie si mnalipwa 7000 kila siku pale Lumumba ili muendelee kukisaidia chama chenu?😉
Safari hii itakuwa ni kilio na kusaga meno! Mmekwisha!CCH hatujawahi kuhuzunika unapokuja uchaguzi. Siku zote tunakuwa wenye furaha na ushindi ni lazima
Kamuone Mbowe. Zile bilioni kumi alizohongwa na Lowasa hazijaishanyie mnaolipwa niunganisheni na mie tulipwe wote
Kilio kisababishwe na huyu fisadi tuliyemfurumusha?Safari hii itakuwa ni kilio na kusaga meno! Mmekwisha!
CCM tunakisaidia chama chetu kwa vile tunakipenda. Si kama akina Mbowe wapo CHADEMA kutokana na maslahi binafsi.