d tarimo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2015
- 918
- 516
Tulitangaza timu ya ushindi ya watu 32 tena kwambwembwe
leo timu ya ushindi iko wapi kazi gani wanafanya
nachokiona sasa leo timu ya kampeni imekuchukuliwa na wasanii wa bongo movi na bongo fleva tena ambao hawana weledi wala ushawishi kwa wananchi
yamoto band:hii ni bend ya watoto nawapenzi wake ni watoto
TOT:hii ni bend ya watu fulan tena wachache sana
TMK hili kundi lisha sahulika kimziki
diamond ndo kwanza kaaribu chama chetu
tunawaacha wasanii kama kina roma ledy jaydee kala jeremah jay wa mtulinga sir nature nk
wanachama wezangu njooni tuokoe chama chetu