Wana CCM na simulizi za Charles Njonjo......

CCM ni waoga, waongo, wepesi tu na wanajificha kwenye mwanvuli wa vyombo vya doal. Full stop nje ya hapo ni wepesi tu, wanafiki na waoga
 
Uwe unasoma na kuelewa
Lowassa ni mwana ccm?
thread inahusu wana ccm
Thread inahusu paka akipewa nyama. Mifano yake iko nyingi tu, mbona unaikataa mingine ambayo iko obvious kama hiyo ya Lowasa? Kwani 2020 itawezekana kumnyang'anya ugombea wa urais? Si atawararua ile mbaya? Yaani mumfanyie kama mlivyofanyia Dr Slaa halafu mtegemee kuwa salama? Haiwezekani.
 
Wengine wanasema kinyago wamekichonga wenyewe na kukiweka sebuleni halafu wanakiogopa!Shikamoo Msukuma!
 
Imagine paka aliyerushiwa hiyo nyama ni paka pori, mwenye chuki na kinyongo kwa paka wengine wa nyumbani halafu ndio karushiwa nyama!
 
The once powerfull Attorney General-Charles Muigane Njonjo na kulikuwa na mwingine anaitwa Total man,mr Nicholus Biwott.
 
Kinyago tumekichonga wenyewe na kukiweka sebuleni. Sasa kinyago hicho hicho kinatutisha. By Mskuma - Mwenyekiti wa CCM Geita.
 
Basi mnyanganye hiyo nyama mumpe lowasa ambaye hata meno ya kuitafuna hana
Mkuu punguza haiba ya kiitikadi, ni vema kujaribu kutumia busara ya ziada kusoma na kuelewa nn Mkuu Boss amewakilisha [emoji115] [emoji115] .
Ukishindwa kuelewa si mbaya kuuliza kuliko kutumia maneno ya ushabiki wa kiitikadi.

Kila Mtanzania anaipenda Tanzania.
 


Mkuu angalau wewe una ujasiri wa kukubali huu mkenge
bado wengine wanajitoa ufahamu tu

na sipati picha atakapo badili katiba aendelee watasemaje
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…