Wana-CCM mwenye nguvu okoeni Taifa

Wana-CCM mwenye nguvu okoeni Taifa

Una

Unasumbuka na Membe aliyekataliwa na wana-CCM tena kwa aibu licha ya kuwa na backup yote inayohitajika kwenye mchuano huo, ikiwemo ya Mkwere? Yaani unadiriki kufikiri kuwa Membe ataambulia kitu wakati kitimu lao limeshafurumushiwa mbali?
Nchi inahamia Dodoma na huko wataenda watakatifu tu, JPM keshamaliza kuunda Setikali yake ya kichama, hivyo wote wana-CCM waliokuwa wanamuunga kinafiki, itawapasa aidha wabadilike sasa, ama waondolewe kwa aibu.
Membe ana nguvu gani, ka-Ukanda kake kadogo tu wala hakana madhara.
Uchaguzi Mdogo uliomalizika ndiyo kipimo cha Magufuli. Wapinzani wanaohamia CCM ni kipimo kingine kikubwa sana cha wapi JPM yupo.
Mmeona mje kupima upepo, anzeni upya nchi ishachukuliwa kutoka mikononi mwa wabinafsi, wezi na wadini na sasa itabidi uonyeshe uwezo wako wa darasani kwanza na kujituma kwako kazini - Hapa kazi tu.
Mtoa hoja alikuwa na hoja moja tu yenye nguvu: UHURU. Hata kama watu wote wanakula na kusaza, kama hakuna uhuru wa kufikiri na kusema unachofikiri, yote ni bure.
 
Membe ni mkongwe kwenye huo mchezo, hawezi kuanza mapema hivi ataishiwa pumzi, we ngojea ikikaribia 2020 utaona vigogo wenye nguvu zao ndani ya CCM watavyo m-challenge JPM, itakua ni mashambulizi ya kushtukiza na ya kufa mtu. Jamaa atumie vizuri muhula wake anaweza asipate nafasi nyingine
Fafanua hii sentensi mkuu wangu.
 
Nimekuelewa lakini umeongelea ukanda...UKANDA? Sisi tunaongelea nchi.

Anyway...

1.Unadhani hao waliokuwa kambi yake wakafurumushwa wamekufa au bado wapo hai?
2. Kupita kwa Magufuli kwenye ule uchaguzi ni hasira za kukatwa Lowassa
3. Nakuapia ikifanyika free and fair election CCM na huyo nanii wenu hamshindi.
4. Katiba ifwatwe, kuwe na freedom of expression, free and fair election, police wasimamie tu ila wasiingilie, kisha mikutano ya hadhara irudi alafu uniambie tena.

Mwisho kabisa kama unadhani uko safi kosoa siku moja waziwazi ndio utajua!
Unataka kutwaminisha nini? Uchaguzi ulifanyika aliyeshinda kashinda hata kama kwa offside na huwezi rudia tena, unai test ccm, uliza wakina Malecela enzi hizo na umwambie huyo mtu wako atulie kama Malecela enzi zile za Nyerere au aanzishe chama chake kama ana nguvu.
 
CCM nikama genge la majambazi au kikundi cha wachawi ambao ukijitenga nao wakati mlikuwa wamoja lazima watafute njia za kukutoa uhai ili usije toa siri zao.
 
Back
Top Bottom