Wana CCM chunguzeni muyasemayo, hayaendani na mazingira ya sasa!

Papa D

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
753
182
Wiki zipatazo tatu zilizopita Mzee Msekwa [Boss wa Nape] akiwa kama makamu wa mwenyekiti wa ccm alikiri kuwa ccm imepoteza mvuto. Hivi karibuni kati wa uenezi Nape nauye kaibuka na takwimu akisema ccm haijapoteza mvuto.

Tatizo langu ni kwamba:-
Hivi nape alitoa zile takwimu kumjibu Boss wake au kuongezea kwenye yale ya boss wake?
Kama sivyo, Je ccm ina aina mbili za takwimu yaani ile ya Mwenyekiti na ile ya sekretarieti?
Je, sisi tusio na vyama vya siasa tunukuu takwimu zipi kati ya zile za nape na zile za Msekwa?
 
Hakuna coordination ndani ya CCM ndo maana hawakumbuki kwamba gamba alivua gamba bado anabaki kuwa gamba namaanisha RA hakustaili kuzindua kampeni.

Pia hawakumbuki jana walisema nn mfano mwanzo Nape alinukuliwa akisema magamba wamepewa siku90 ghafla anakanusha kwamba hajawahi kusema.

Hiki chama bado kupagaranyika tu kwa kuwa bado wanamadaraka.
 
hii ngoma inazama jamani! ona imepoteza mwelekeo hawajui wanakwenda wapi!
 
Wiki zipatazo tatu zilizopita Mzee Msekwa [Boss wa Nape] akiwa kama makamu wa mwenyekiti wa ccm alikiri kuwa ccm imepoteza mvuto. Hivi karibuni kati wa uenezi Nape nauye kaibuka na takwimu akisema ccm haijapoteza mvuto.

Tatizo langu ni kwamba:-
Hivi nape alitoa zile takwimu kumjibu Boss wake au kuongezea kwenye yale ya boss wake?
Kama sivyo, Je ccm ina aina mbili za takwimu yaani ile ya Mwenyekiti na ile ya sekretarieti?
Je, sisi tusio na vyama vya siasa tunukuu takwimu zipi kati ya zile za nape na zile za Msekwa?
nyie msio na vyama kaeni kimya. Waachieni siasa wenye vyama.
 
kila mtu ana haki ya kusema chochote, ilmradi hamvunjii mwengine heshima na maslahi yake. Msemaji mkuu wa chama hana la kusema hivyo inabaki kila mmoja anajaribu kusema kwa niaba yake ilmradi aweze kupata umaarufu.
 
nyie msio na vyama kaeni kimya. Waachieni siasa wenye vyama.
Ni kweli hatuna nchi!!
lakini tuna kitu kimoja kikubwa kukilo hivyo vyama vyenu yaaani TUNA TAIFA NA UTAIFA!!!!!!
Kwa huyo lazima tuwe makini kuchunguza dhamira zenu ninyi wenye vyama!!
 
Tarehe 3 mwezi October 2011 watanzania kuvaa nguo nyeus kulaani utendaji wa serikali kama kama unaguswa na mambo yafuatayo basi na wewe vaa na umwambie na mwenzako kama yana muhusu naye avae.
1.ukosefu wa ajira
2.kupanda kwa gharama za maisha
3.huduma mbaya za afya, elimu na maji.
4.ukosefu wa umeme
5. Ufisadi
6.mikataba mibovu
7. Ubaguzi kwenye mikopo ya elimu ya juu
8.malipo duni ya wafanyakazi wa serikali
9.ufujaji wa mali ya umma kwa watendaji wa serikali kwa safari zisizo na tija.
10. Kuwakumbatia wawekezaji katika kuiba ardhi na rasilimali ya wanyonge

Huu ni ujumbe unao zunguka kwenye Mitandao ya kijamii twitter, facebook na myspace pia sms kwa njia ya simu zimeanza kusambaaa nchi nzima. Kama Mod hatabania hii kitu na sisi wana JF tuchangia hapa.
 
mimi nlivaa nguo nyeusi, wewe je?

Back
Top Bottom