wana cc wanaoishi Lindi

Bwa mdogo kama umetoa lugha ya matusi hapo juu badala ya kuchit chat ni bora uombe msamaha mapemaaaa....kabla hapajachimbika

Hapa lazima vumbi litimke sikubali kaka, kaka kazana hadi kieleweke haha
 
Nani amelala nasubiri ithini yako kwa dada ako ati

Tokea lini kaka akawa ndio mwamuzi wa dada yake...kama umemshindwa mie nitakachofanya ni kunioa panga langu vizuri na kuhakikisha huleti tena usumbufu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…