Haya kalale, ni muda wa CIA wenzako kulala baada ya kazi nyingi toka Obama aje hadi kuondoka
Mpare toka lini akawa CIA?
Ila roho bado inani zubaisha sherii......nangai
haha huyu mtonga kwa bajeti ahunduke kwa balanthi
Wadengwa.............Hivi mwanaume mzima na korodani kama kifusi cha nguna ulitegemea kirahisi rahisi tu utajiunga JF halafu utapata mwanamke mara moja...
Huyu watu8 una nini naye?
Si umuulize mwenyewe utaniulizaje mimi? wewe si kidume cha mbegu? muulize akwambie!! chezeya ndugu wewe
That's not a bad question ......?im starting liking you bro....
Wadengwa.............
hehehe...ole wako hilo neno liwe ni kitenzi kikurupushi...mbona hili jamvi utaliona chaka la mbigili
hehehe...ole wako hilo neno liwe ni kitenzi kikurupushi...mbona hili jamvi utaliona chaka la mbigili
Ndugu bongo.........!
Mbona humuulizi sasa? si amkekupa nafasi? macho kwa macho
Hahaha ungejua alichokwambia wala usingemchekea
Hana sumu huyo.......karibu same