hakuna hata mmoja alojitokeza means nipo peke yangu
nachoshangaa ikija issue ya mabomu mtwara na lindi watu wengi hutoa taarifa kama wapo huku,
k mkija lindi mjaribu kunicheki
ndio maana ukaambiwa #BoraPekeeYangu marafiki waliowengi ni wanafiki komaa tu ntakupa shavu la u Founder ChitChat JF Lindi wing!!
fisi kula pweza na kutafuata lindi A, saba saba, mitwelo, mitema.
nimefikia huu mtaa maana ndio uzunguni kwa lindi
huyo mtu wako anaitwa nan et?
Hahaha...sistoooo!!! mi simo
Hahaha kwa hili kaa tunpembeni uniache mimi na mleta siredi sijui anaitwa kapalama vile
Ntakwambia sirini ILA kazi unafanya wapi?hapo wilayani au mkoani?
kazi yangu nauza pweza na ngadu fisi
masista duh wa enzi hizo wapo nawaona ona, kumechange siku si kama nilivyoambiwa wakati naja, naona mama mkuu wa kaya anajenga shule mitwelo hope kutachange
Hahaha kwa hili kaa tunpembeni uniache mimi na mleta siredi sijui anaitwa kapalama vile
Mie nimekaa kando sis...nawatazama tu!!
Enzi hizo hawakuwa masister do tulikuwa watoto, sasa ivi ndio tumekuwa masister do
Nahisi bundle itakuwa imeisha pande hiyo.....si unaona kimya?
Hahah...mie sipanduki nataka niijue Lindi zaidi kupitia mastoreee yenu.
kumbe bado upo kwenye form nikajua ushakuwa mzee
Hahaha Lindi ilikuwa lindi ya utotoni bwana ileeee ya miaka kama mitano sita, saba, nane, tisa kumi iliyopita (ile ya madada wa madada) hii ya sasa hata sio Lindi tena....sherehe kila kona chezeya wewe...ndio hvo basi tena yakipita hayarudi
Hahaha inategemea umenilinganisha na nani ndo uniite kijana au mzee
Of koz kumbukumbu za utotoni ni nzuri kwa kila mtu...
Kama nakuona vile enzi zako waenda ile shule ya msingi nadhani ipo huku karibu na hospitali ya mkoa...
kwa maelezo yako means ni wa kitambo kwenye game
watu hawaupendi uzee
Hahaha kwani uzee unaanzia ngapi? kama miaka 10 iliyopita nilikuwa secondary mwishoni(olevel) je niko ktk age gani??kama utanilinganisha na mtoti wa miaka 10 basi me ni mzee sana, ila kama utanilinganisha na mtu wa 35 and above basi nitakuwa mdogo tu sana