Wana CC via JF nipo Segera nakuja Tanga

Wana CC via JF nipo Segera nakuja Tanga

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,506
Reaction score
7,445
Mnipokee memba wa JF cc jukwaa la siasa,chitchat,Elimu,biashara,JLW,kwa ujumla wetu,nilikwenda kumchukua wife Korrogwe tuje TA mara moja alafu nirudi nikalinde Gas mtwara eeeeh
CC kibanga ampiga mkoloni
"Vox populi,VoX dei"
 
karibu umepanda bus gani nikupokee?
 
karibu jamani sana jamani mie nakukaribisha makorora njia ya tanga skuli uje ufturu
Ahsante sana,nimefikia Mikanjuni kuna rafiki kanipokea
 
Nipo Mikanjuni
"Vox populi vox dei"
 
Tanga Bhana maduka mengi yamefungwa eti Usafi sasa mswaki itukuaje tunaotaka mahitaji
"Vox populi,Vox dei"
 
Back
Top Bottom