Wana CC via JF nipo Segera nakuja Tanga

Wana CC via JF nipo Segera nakuja Tanga

Mnipokee memba wa JF cc jukwaa la siasa,chitchat,Elimu,biashara,JLW,kwa ujumla wetu,nilikwenda kumchukua wife Korrogwe tuje TA mara moja alafu nirudi nikalinde Gas mtwara eeeeh
CC kibanga ampiga mkoloni
"Vox populi,VoX dei"

Karibu TANGA kijana, TANGA RAHA, WAJA LEO KUONDOKA MAJALIWA.
 
Tanga Bhana maduka mengi yamefungwa eti Usafi sasa mswaki itukuaje tunaotaka mahitaji
"Vox populi,Vox dei"

Hhahah! Kijana 10:31 MAduka yashafunguliwa,nenda dukani, huku kwetu maduka tunafungua saa NNE AMRI ya MKUU wa WILAYA. lakini inategemea umefikia mtaa gani kwa vyovyote umefikia huko kwenye NGOME ya MACCM, ila kama ungefikia mitaa ya kati kwenye NGOME ya CUF, huku MADUKA wazi tu, kwani huku huyo BIBIE(mkuu wa wilaya) ATII MAGUU na sheria zake za kikoloni zinaishia hukohuko.
 
Ahsante nimeshapata mahitaji nashukuru,
 
Ni eneo gani Tanga wauza Madira,kwa bei za Kawaida,nataka nimnunulie Mamsapu
CC amu,mamndenyi
"Vox populi,vox dei"
 
umeacha kariakoo madira 13,000 ambayo tanga wanakuuzia 18,000 au 18,000 ambayo tanga wanakuuzia 25,000 nenda kabambikwe na sikuu ndo iyooo
 
Ghafla si unajua
 
Nafanya matembezi town Tanga nw
Nimemis meza duara DW
CC amu
""Vox populi vox dei"
 
Ahsanten Tanga kunani?
"Vox popull Vox dei"
 
Back
Top Bottom