gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,583
Acheni ujinga usiokuwa na sababu
Ujinga kitu gani.Kweli.
Acheni ujinga usiokuwa na sababu
Sawa lakini kumiliki isiwe kero kwa jamiiMbona vitz ni gari nzuri tu ina tatizo gani mpaka ioshwe kwenye sink?
Sawa lakini kumiliki isiwe kero kwa jamii
Wanakukeraje kwa mfano?
Wanakukeraje kwa mfano?
asante tumejua wahaya wa karagwe mna vits za mkopo wa bayportaf achen dharau msha2ona sis wenye vtz maskin sana eh dharau za nguoni hz lione kwanza
bora vitz ya cash kuliko noah new model ya mkopo, tena wewe muanzisha mada wewe si unatembelea spacio ya shemejio au nawe umeolewa
bora vitz kuliko kuolewa na mume wa dada kwa spacio