Wamiliki wa nyumba utata mtupu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamiliki wa nyumba utata mtupu!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Swae24, May 24, 2012.

 1. S

  Swae24 Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau hivi inakuwaje kama umekubaliana na mwenye nyumba kwamba nyumba haijakamilika ila ataikamilisha,ukalipia kodi ya mwaka mzima kwa hela ya nyumba iliyo kamili na asiikamilishe then,mwisho wa mwaka anataka kuleta mpangaji mwingine,Je kuna haki ya kudai fidia kwani nyumba haikukamilika kulingana na makubaliano au la?
   
Loading...