Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 432
Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam kupitia kwa Mkurugenzi wa Halmashauri wa Jiji hilo Ndugu Elihuruma Mabelya amesema, wameandaa tamasha la IST ambalo limelenga kukutanisha vijana wa vyuo mbalimbali kwa lengo la upimaji wa afya bure na kutengeneza fursa tofauti.
Soma pia: Wanaosema ist sio gari wanakaa kwenye mwendokasi kama njiti za kiberiti
Akizungumza Jijini Dar es Salaam kuelekea tamasha hilo ambalo litafanyika Febuari 7 mwaka huu, Mkurugenzi Elihuruma ameeleza kuhusu tamasha hilo ambalo limelenga kukutanisha vijana wanaomiliki gari aina ya IST kutoka vyuo mbalimbali ikiwemo chuo cha Afya na Sayansi Shirikisho (MUHAS),Chuo Kikuu Dar es Salaam UDSM, na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Endelea kufuatilia YouTube Bongo24 kwa updates zaidi.