Wamiliki maduka ya kubadili fedha wakana tuhuma za Makonda

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,376
24,928
Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kueleza kuwa kuna maduka mengi ya kubadili fedha (Bureau de Change) ambayo yanatumika kutakatishafedha za dawa za kulevya, wasimamizi wa maduka hayo wameeleza kutoshiriki, bali wanafuata utaratibu uliowekwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Kwa nyakati tofauti wamesema kabla ya kuuza au kununua fedha za ndani na nje ya nchi, hupewa utaratibu ambao ni lazima waufuate.

Akizungumza juzi wakati wa kukabidhi majina 97 ya watuhumiwa wa uuzaji wa dawaza kulevya, Makonda amesema jijini Dar es Salaam kuna maduka ya kubadilishia fedha takriban 220 na nchi nzima yapo zaidi ya 400, hivyo utitiri wa maduka hayo unarahisisha kuingiza fedha za dawa za kulevya kwenye mzunguko na kusaidia kutakatisha fedha haramu.

Meneja wa duka la kubadilishia fedha la TK, Tukuza Amri amesema ndiyo kwanza amesikia tuhuma hizo kwa sababu wao hufuata kanuni na utaratibu wa BoT.

Chanzo : Mwananchi Online
 
Simuungi moja kwa moja makonda na pia huyo mmiriki wa duka la kubadirishia fedha hawezi kukana kwa niaba ya wenzake maana hawezi jua. Yawezekana wapo au hawapo ila kama kiongozi wa serikali hana haja ya kulalamika tu public badala ya kuchukua hatua. Kwa vile makonda anayafahamu mpaka maduka hayo basi kwanini asifuate sheria?
 
Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kueleza kuwa kuna maduka mengi ya kubadili fedha (Bureau de Change) ambayo yanatumika kutakatishafedha za dawa za kulevya, wasimamizi wa maduka hayo wameeleza kutoshiriki, bali wanafuata utaratibu uliowekwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Kwa nyakati tofauti wamesema kabla ya kuuza au kununua fedha za ndani na nje ya nchi, hupewa utaratibu ambao ni lazima waufuate.

Akizungumza juzi wakati wa kukabidhi majina 97 ya watuhumiwa wa uuzaji wa dawaza kulevya, Makonda amesema jijini Dar es Salaam kuna maduka ya kubadilishia fedha takriban 220 na nchi nzima yapo zaidi ya 400, hivyo utitiri wa maduka hayo unarahisisha kuingiza fedha za dawa za kulevya kwenye mzunguko na kusaidia kutakatisha fedha haramu.

Meneja wa duka la kubadilishia fedha la TK, Tukuza Amri amesema ndiyo kwanza amesikia tuhuma hizo kwa sababu wao hufuata kanuni na utaratibu wa BoT.

Chanzo : Mwananchi Online
inawezekana anayosema makonda. maduka mengi ya kubadili fedha hawafuati utaratibu. ukienda wanabadili tu hela kama njugu.
 
Inawezekana kweli hayo maduka yapo ila concern yangu naona Makonda anazidi kupanua eneo la mapambano.
 
Anijufanya hajui kama GSM kupitia silent ocean wanaendesha huduma za remittance kama western union,kutuma na kupokea pesa kati ya Tanzania na china tena kwa ada kabisa ya 1% je wana kibali?,maana wao ndo mabingwa wa hyo money laundary anayoizungumzia na yuko nao karibu 24/7.Au hao ni untouchable?
 
Hivi GSM zile hela wanazotuma China wanakibali?? Maduka ya kubadilisha fedha wala hajadanganya yanatumika kutakatisha pesa chafu. Kwanza hawajali hata uende kiasi gani cha fedha za kigeni wanakubadilishia au ukitaka kununua hawanashida, panabatangazo la BOT linalotaka uwe na ID na watoe risiti lakini wala hikokitu hawafanyi. In short haya maduka sidhani kama yanakuwa monitored.
 
Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kueleza kuwa kuna maduka mengi ya kubadili fedha (Bureau de Change) ambayo yanatumika kutakatishafedha za dawa za kulevya, wasimamizi wa maduka hayo wameeleza kutoshiriki, bali wanafuata utaratibu uliowekwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Kwa nyakati tofauti wamesema kabla ya kuuza au kununua fedha za ndani na nje ya nchi, hupewa utaratibu ambao ni lazima waufuate.

Akizungumza juzi wakati wa kukabidhi majina 97 ya watuhumiwa wa uuzaji wa dawaza kulevya, Makonda amesema jijini Dar es Salaam kuna maduka ya kubadilishia fedha takriban 220 na nchi nzima yapo zaidi ya 400, hivyo utitiri wa maduka hayo unarahisisha kuingiza fedha za dawa za kulevya kwenye mzunguko na kusaidia kutakatisha fedha haramu.

Meneja wa duka la kubadilishia fedha la TK, Tukuza Amri amesema ndiyo kwanza amesikia tuhuma hizo kwa sababu wao hufuata kanuni na utaratibu wa BoT.

Chanzo : Mwananchi Online
Kwani kufuata kanuni za BoT kuna uhusiano gani na madawa ya kulevya?Statement ya kijinga sana hii.Nilitegemea atuambie kwanza hizo hela za kuanzishia Bureau de Change wamezipata wapi.Kwani nani asiyejua kwamba Bureau de Change ni mbinu ya kutakatishia fedha.Makonda was damn right.Hawa wote wangekamatwa tu.
 
ningekuwa na uwezo ningeyafunfa haya maduka ,kuna siku niliinda kubadilisha pesa wakaniambia nikihitaji risit rate inapanda
 
Hivi GSM zile hela wanazotuma China wanakibali?? Maduka ya kubadilisha fedha wala hajadanganya yanatumika kutakatisha pesa chafu. Kwanza hawajali hata uende kiasi gani cha fedha za kigeni wanakubadilishia au ukitaka kununua hawanashida, panabatangazo la BOT linalotaka uwe na ID na watoe risiti lakini wala hikokitu hawafanyi. In short haya maduka sidhani kama yanakuwa monitored.

na hii ndo failur ya BOT chini ya ndulu aka profesor
 
Kwani kufuata kanuni za BoT kuna uhusiano gani na madawa ya kulevya?Statement ya kijinga sana hii.Nilitegemea atuambie kwanza hizo hela za kuanzishia Bureau de Change wamezipata wapi.Kwani nani asiyejua kwamba Bureau de Change ni mbinu ya kutakatishia fedha.Makonda was damn right.Hawa wote wangekamatwa tu.

Kama Una Ushahidi Kwa Nini Usipeleke Polisi Badala Ya Kupigia Debe Upumbavu???

Kuwa Na Heshima Na Hili Jukwaa Kama Huna Ushahidi Changia Kistaarabu

Unajua Kuwa Unatenda Kosa La Jinai Kwa Kujua Pesa Zinatakatishwa Vipi Na Kushindwa Kupeleka Taarifa Polisi?

Sisi Watanzania Tuna Matatizo Sana Maneno Mengi Wakati Hujui Chochote Na Ujanja Wako Wa Akili Za Sungura

Bila Shaka Hata Pesa Ya Kigeni Hujawahi Kushika Lakini Ujuaji Namba Moja.​
 
hakuna mashart ya benk kuu yanafuatwa, zamani tulikuwa tunaulizwa tunanunua nini au kama unasafiri unaonyesha tiket.
 
Kama Una Ushahidi Kwa Nini Usipeleke Polisi Badala Ya Kupigia Debe Upumbavu???

Kuwa Na Heshima Na Hili Jukwaa Kama Huna Ushahidi Changia Kistaarabu

Unajua Kuwa Unatenda Kosa La Jinai Kwa Kujua Pesa Zinatakatishwa Vipi Na Kushindwa Kupeleka Taarifa Polisi?

Sisi Watanzania Tuna Matatizo Sana Maneno Mengi Wakati Hujui Chochote Na Ujanja Wako Wa Akili Za Sungura

Bila Shaka Hata Pesa Ya Kigeni Hujawahi Kushika Lakini Ujuaji Namba Moja.​
Mkuu, Nitarudia mara nyingi maneno haya "AKILI ZA KITANZANIA HAZIPATIKANI POPOTE DUNIANI ZAIDI YA TANZANIA" Wengi wetu hatuhitaji kutumia akili zetu kufikiri nje ya tulichoambiwa ama kilichoropokwa na wapendwa wetu!! Sio ajabu kukuta upuuzi ukishabikiwa na hekima ikiwekwa kando!!! Tunakoelekea huenda Utanzania ukawa ni laana ya kupigiwa mfano!!! Mungu atunusuru
 
Halafu Wengine Unaweza Kukuta Ni Wasomi Wa Chuo Kikuu Kabisa Anashangilia Vitu Vya Kijinga. Ila Siwezi Kushangaa Sana Sababu Mwalimu Wao Mwakyembe Si Unaziona Akili Zake Na Maneno Yake Haviendani Kabisa Na Udaktari Wake
 
Back
Top Bottom