Wamewatiii Watieni!

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,939
Reaction score
10,823
Binafsi mwezi uliopita nilifikisha miaka 42 ya kuzaliwa. Kiukweli sijioni kama kijana maana kila uchwao nasiki mara miguu kuuma mara mgongo mara masikio, kwakweli it's true life begin at 40's.

Nadhani Kwa mujibu wa katiba mimi bado naitwa kijana ila sidhani kama kweli mimi ni kijana.

Any way sio mada, ila wewe Afande unao fatilia acc ya sifi Leo nakusalimu pia we timiza wajibu wako ila siku ukija kwangu pasipo uniform ntapambana na wewe.

Wasia wangu
Viongozi wa UMMA vijana wa Tanzania wamewatiiiini nanyi Watieni jaman.​
 
Kwa ulichoandika Mona unaonekana una miaka 11?
 
Kijana mwisho 35.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…