Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,978
Just take it as massage sent.
unaona tena massage sent ndiyo nini? Au ulitaka kuandika message sent?
Unajua tofauti kati ya massage na message wewe? Hii nchi ina vilaza wengi ajabu haki ya Mungu!
Just take it as massage sent.
Kwawale tuliokua tukifatilia kesi hadi sasa hukumu, na kwajinsi hakimu alivyosoma hukumu imesikitisha sana kuona maamuzi yaliyotolewa. Kulingana na wanashelia walivyokua wakieleza, nikua ili mwanachama afukuzwe katika chama nilazima talatibu zote zakumfuta uanachama za chama zifuatwe, sasa hapa ndo kwenye shida kwasababu kasoro iliyojitokeza ni kwa baadhi ya wajumbe wa kamati kuu walio hudhulia maamuzi ya kuwafukuza wabunge wale kuwepo tena kwenye, Balaza kuu lililo shiliki kuamua rufaa waliyoikata ila kama Chama kinatambua kua baadhi ya wajumbe wakamati kuu pia niwajumbe wabalaza kuu ni wapi utalatibu haukufuatwa?
Inawezekana hujui kama wakati mwingine unapaswa kujua dhumuni la mwandishi, pamoja namapungufu yake, hivyo nakuombeni jadili hoja achana na mapungufu hayo chukulia kama Common mistake.Tafadhali futa hii takataka umechefua wengi humu. Huu uandishi ni uchafu kwa kweli!
Inawezekana hujui kama wakati mwingine unapaswa kujua dhumuni la mwandishi, pamoja namapungufu yake, hivyo nakuombeni jadili hoja achana na mapungufu hayo chukulia kama Common mistake.
Tayali nimehariri turudini kwenye mjadala.Ukihariri itajadiliwa ika ikibaki hivi hutampata mtu wa kujadili badala yake watu watabaki wanakukosoa ulichoandika kama ulivyoona baadhi walivyokukosoa na wengine wameamua kupuuzia ulichoandika!.
Tayali nimehariri turudini kwenye mjadala.
Mining = meaning? Dah inasikitisha sana.Mind the mining
Tayali = tayari?Tayali nimehariri turudini kwenye mjadala.
Massage = message?? We jamaa una matatizo gani? TAKUKURU wafuatilie ulikosoma.. inaonekana elimu yako ni ya mchongo.Just take it as massage sent.
Tayali ndio nini? Hariri kwanza hiyo taarifaTayali nimehariri turudini kwenye mjadala.