Wameshida kesi sawa Lakini kimantiki Inaingia akilini?

bitare

Senior Member
Joined
Jul 13, 2023
Posts
196
Reaction score
601
Kwawale tuliokua tukifatilia kesi hadi sasa hukumu, na kwajinsi hakimu alivyosoma hukumu, imesikitisha sana kuona maamuzi yaliyotolewa.

Kulingana na wanasheria walivyokua wakieleza, nikua ili mwanachama afukuzwe katika chama ni lazima taratibu zote zakumfuta uanachama za chama zifatwe, sasa hapa ndo kwenye shida kwasababu kasoro iliyojitokeza ni kwa baadhi ya wajumbe wa kamati kuu walio hudhulia maamuzi ya kuwafukuza wabunge wale, kuwepo tena kwenye baraza kuu lililo shiriki kuamua rufaa waliyoikata, ila kama Chama kinatambua kua baadhi ya wajumbe wakamati kuu pia niwajumbe wabaraza kuu ni wapi utaratibu haukufuatwa?
 
Asante kwa Bandiko Mkuu.

HII NDIO TANZANIA YETU.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Mahakama kuu Ina vilaza Sana. Yani Jaji baadala aangalie facts anaanza kukosoa katiba ya chama. Very stupid and idiot judge.
Wewe ndiye kilaza+ . Katiba ndiyo dila ya chama. Chochote kinachofanyika na chama kitafanyika kwa mujibu wa katiba na si vinginevyo. Kwenda kinyume na katiba ni kukiuka misingi ya chama
 
Kwawale tuliokua tukifatilia kesi hadi sasa hukumu, na kwajinsi hakimu alivyosoma hukumu imesikitisha sana kuona maamuzi yaliyotolewa. Kulingana na wanashelia walivyokua wakieleza, nikua ili mwanachama afukuzwe katika chama nilazima talatibu zote zakumfuta uanachama za chama zifuatwe, sasa hapa ndo kwenye shida kwasababu kasoro iliyojitokeza ni kwa baadhi ya wajumbe wa kamati kuu walio hudhulia maamuzi ya kuwafukuza wabunge wale kuwepo tena kwenye, Balaza kuu lililo shiliki kuamua rufaa waliyoikata ila kama Chama kinatambua kua baadhi ya wajumbe wakamati kuu pia niwajumbe wabalaza kuu ni wapi utalatibu haukufuatwa?

Na uamuzi wa kesi au hukumu huwa ni mantiki ( or logic ) na siyo kitu kingine, kwa hiyo umejibu swali lako mwenyewe.
 
Kwawale tuliokua tukifatilia kesi hadi sasa hukumu, na kwajinsi hakimu alivyosoma hukumu imesikitisha sana kuona maamuzi yaliyotolewa. Kulingana na wanashelia walivyokua wakieleza, nikua ili mwanachama afukuzwe katika chama nilazima talatibu zote zakumfuta uanachama za chama zifuatwe, sasa hapa ndo kwenye shida kwasababu kasoro iliyojitokeza ni kwa baadhi ya wajumbe wa kamati kuu walio hudhulia maamuzi ya kuwafukuza wabunge wale kuwepo tena kwenye, Balaza kuu lililo shiliki kuamua rufaa waliyoikata ila kama Chama kinatambua kua baadhi ya wajumbe wakamati kuu pia niwajumbe wabalaza kuu ni wapi utalatibu haukufuatwa?

Wewe kijana una shida ya kuandika baadhi ya herufi kama vile kutofautisha ‘r’ na ‘l’ kwenye neno au shule hukumaliza hata elimu ya msingi? Hebu hariri kwanza ulichopost halafu tuletee tena hapa.
 
😂😂Eti anaandika "wanashelia"
 
Wewe kijana una shida ya kuandika baadhi ya herufi kama vile kutofautisha ‘r’ na ‘l’ kwenye neno au shule hukumaliza hata elimu ya msingi? Hebu hariri kwanza ulichopost halafu tuletee tena hapa.
Just take it as massage sent.
 
Back
Top Bottom