kuhusu matumizi ya jani la tengeru? Wotee wanatumia sawa?Jamaa ni hao hao tu
Lugha ndo hiyo hiyo
Majina ni hayo hayo
Uchapakazi ndo huo huo
Ukali ni ule ule
Hii inafanya hata wameru na wamachame kushindwa kutofautisha accent zao haswa kwa wazee wao
Mfano bibi mzee wa kimachame akiongea au bibi mzee wa kimeru akiongea hapo jamii hizi mbili zinashindwa tofautisha kabisa lugha na lafudhi ya hao wazee maana ni lugha hiyo hiyo tu.
Mbonyigoo, naarendareNaare mbonyi.
Sio kweli bablai....Wameru na wamachame wanafanana zaidi kuliko hata wasihaMjomba unaongea usichokijua mimi ni Mmachame mimi na mmeru ni tofauti kuanzia Koo mpaka taratibu za kimila na uongozi mtu ambaye na Mmeru wanafanana sana ni Wasiha
Ndo hapo sasandiyo hapo ujue haya yanayoitwa makabila ni artifial i.e yalitengenezwa na watawala walioanzisha hii nchi wakoloni, kwa maana wamachame wanahesabika kama ''kabila'' la kichaga lkn wameru siyo wachaga na hiyo chaos ni nchi nzima ...