kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,785
- 20,157
Hawa jamaa wapo wilaya ya Meru, wanaongea full kichaga language. Mila na desturi ni kama za kichaga, majina ni kama ya kichaga na koo ni kama za kichaga.
Sifa za elimu uchapakazi ni ule ule wa wachaga, hali ya hewa ya Meru na kilimo cha migomba na kahawa kama uchagani.
Haya nambieni nini kinaweza kuhalalisha wao kuwa kabila wakati wote ni jamii ya wachaga?
Ukimwiita Mmeru Mchaga 'anamaindi' sana!
Update; Nikisema wameru ni wachaga kwa upande wa mtawala wa jadi
Mtawala wa wameru aliitwa mangi
Mangi huyohuyo ndo mtawala wa wachaga
Pia kuna mtawala anayeitwa mshili ambaye mpaka sahivi yupo na mshili alikuepo uchagani toka miaka hiyo
Pili ukiwafuata wazee wengi wa kimeru wengi asili zao utakuta ni moshi
Hilo halina ubishi kuna koo kama urio, urassa, ndosi, nnko, maro,mboro, ambazo zipo uchagani
Matambiko ni kama ya kichaga
Pombe ya asili ni mbege