Wameona wapi hii watoto??

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951




Haya mambo ya Utandawazi ndio yana[pelekeza nchi kuchafuka, na inafikia mapaka watoto kukojolea msaafu nk.....
 
Duuuuunia

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Bujibuji inabidi ukodishe chumba cha pili, maaana huu mpango wa kulala na watoto chumba kimoja si mzuri.
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji inabidi ukodishe chumba cha pili, maaana huu mpango wa kulala na watoto chumba kimoja si mzuri.
MadameX, hawa watoto wa siku hizi wana hiana sana. Wanakaa kwa bibi yao, lakini wanatoroka usiku na kuja kutupiga chabo, sijui niwamwagie maji ya FFU machoni????
 
Last edited by a moderator:
Mbona kama miguu ya she inaning'inia? Hii picha ni kama imeunganishwa. Ngoja nichukue miwani ili niangalie vizuri
 
Mbona hiyo kinguonguo tulikuwa nayo hata sisi wa 1970s? Nothing new........au ahmkucheza baba na mama nyiye?
 
Huyu msichana mbona hana miguu? nikisema ni picha duka nitakuwa nakosea??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…