Wamenogewa?

Ktk dubwana linawatia hasira ni hili Jf sema hawana cha kufanya

Mkuu Kuwa Makini Kutoa au Kuchukua Namba Namba za Watu Humu.

Kuna Watu Wanakupa Namba Zao Upige Humu Kuwa Makini Sana Watakupoteza.

Kuna Aliye Ni-PM "Nimependa Michango Yako Nipe Namba Yako Nikuweke Kwenye Whatsapp Group Yetu"" 😵😵

Mke Wangu Hajui ID Yangu Ndiyo Nijiuze Kirahisi Hivyo Kwa Mtu wa Pembeni? Hivyo ni Vitu Personal Sana

Hivyo Kuweni Makini Sana
 
Ushauri wako mzuri nashukuru.Nina ndg yangu huko nyumbani huwa anatumia hii account yangu ngoja nimzuie
 
Ushauri wako mzuri nashukuru.Nina ndg yangu huko nyumbani huwa anatumia hii account yangu ngoja nimzuie
 
Duu... Mambo ya PAKa kusaka panya haya...., ila kunakujikwaa kwenye kisiki bila shaka...
 
Lakini haya mambo lissu alionya mapema sana! akazomewa na kupewa kila aina ya kashfa!
Ila maskini hata mwaka haujaisha yanadhihirika
 
Kuna msukuma 1 alipita anajtapa tapa serekali yote ya tanzania ipo mfukon mwang mshenz sana wewe serkali yote ya tanzania ana mfuko mpana kiasi gan nikjua anaonea watu lakn hata hivyo kumpata ni kazi nikamtia ndan nikati wemtuku kwann unaonea watu wakaja ooohh [HASHTAG]#mill8[/HASHTAG] mwachie nikasema simwachiii hana adabu
 
Wanasema ukila nyama lazima utake tena..

Anytime tuwe tayari kuumia!! Ukisikia paaah...
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
Mshana naona hujasema neno kaka au Lumumba buku 3 wameamua kutisha watu hawa misukule?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…