Wamenitumia pesa Lakini hawajui jina Langu!

matapeli wote huwapata wenye tamaa ya utajiri wa chapchap.....ila wengi hukwama kwa WA-TZ

teh teh! Teh teh! Inamaana wa tz nao wanayajua haya maujanja. Ila kiboko yao dowans+mikataba feki.lol !
 
Kuna siku kidogo niingie mkenge, nilitumiwa sms na kamuni ya kutengeneza mafuta ya Kimbo kuwa nimeshinda 500,000 manake rafiki yangu kanichezea hiyo bahati nasibu ndo mana wana namba yangu, wakasema niwatumie elfu 30 kama gharama za kutuma pesa au kama nipo mbali na western union basi niwatumie vocha za elfu 30 fasta. Kweli kidogo ninunue vocha sema nilkuwa sina hela gheto na bank ni mbali sana. Kuwaonyesha washikaji nikaambiwa umeliwa. Jamaa alipiga kama mara tatu kuuliza mbona kimya na namba tofauti nikamwambia nimekushtukia akaingia mitini.

watchout hawa watu wapo kweli, matapeli.
 
Back
Top Bottom