Wanajaribu kutengeneza kesi; kesi kubwa zaidi kuliko kesi feki ya Lissu. Wanataka kujua alikuwa anawasiliana na nani, wanawasiliana nini, na katika mawasiliano hayo kulikuwa na jambo lolote ambalo liliweka maisha ya Rais hatarini. Wanajua kilichotokea kwa JPM kwani baada ya kosakosa ya lile lililotokea Kusini, JPM hakumuona chawa aliyekuwa nguoni. Hili kosa hawa wahakutaka kulifanya.