WAMEKOSA HAAYA

WAMEKOSA HAAYA

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,647
Reaction score
4,753
Yaani midada ya siku hasa ya mijini imekosa haaya kabisa...

Yaani janamke bila aibu HALIJAOLEWA LINAWEZA FIKA KWA MWANAUME LIPO CHUMBANI KWA MWANAUME LINAPIGA STORY TENA KWA SAUTI KUBWA BILA HAAYA....NA WENGINE BILA AIBU ANALALA KABISA KWA MWANAUME AMBAYE HATA KWAO HAWAMJUI...

AKESHAGONGWA HANA HAAYA ANAOTOKA NJE...NA UNAJUA KABISA HUYU ALIKUWA ANAGONGWA MDA SI MREFU...NA YEYE MACHO MAKAVUU...BILA HAAYA...

WAKATI MIMI MKE WANGU PAMOJA NI MKE HALALI WA NDOA KABISA...YAANI TUKIWA TUKO MAENEO YA HOME KWAO/KWETU LABDA HATA KAMA TUMEACHIWA CHUMBA TULALE WOTE, WOTE TUNAONA AIBU MFANO TUNAAMKA ASUBUHI TUNAPASWA KUOGA JANABA ILI TUSWALI...ILI KUEPUSHA HILO...TUNAONA HAAYA TUNAKUTANIA KWETU KWA AMANI...

ILA MIDADA YA SIKU YAANI MIMACHO MAKAVUUU...ILA DHAMBI YA UZINZI HAYO NDIO MADHARA YAKE...DHAMBI YA UZINZI HUONDOA HAAYA USONI KWA WANAWAKE NA NURU YA WEMA USONI KWA WANAUME..
 
Midada, janamke, kugongwa... Mkuu, umeshindwa kabisa kutafuta maneno sahihi? Naona andiko lako linapungua credit kwa kugha hii inayoonyesha chuki ya wazi. Halafu, wewe hukuwahi kuonja kabla ya kuoa?
 
UKIONA HIVYO INAKERA...KIDOGO UFICHE HATA USO...JANAMKE LIKITOKA HAPO LINAENDA KWAO...ILA ALMOST WADADA WENGI WANAANZA UMALAYA WAKIWA KWAO...
 
MWANAMKE IDADI YA WANAUME WALIOPITA KWAKO INATOSHA KUKUPANDISHA HADHI KABISA...NA KUWA KAHABA ULIYEKUBUHU...ISIPOKUWA WEWE HUENDI SIMAMA KULE SINZA SIJUI KWA MAKAHABA WENZIO...!
 
Yaani midada ya siku hasa ya mijini imekosa haaya kabisa...

Yaani janamke bila aibu HALIJAOLEWA LINAWEZA FIKA KWA MWANAUME LIPO CHUMBANI KWA MWANAUME LINAPIGA STORY TENA KWA SAUTI KUBWA BILA HAAYA....NA WENGINE BILA AIBU ANALALA KABISA KWA MWANAUME AMBAYE HATA KWAO HAWAMJUI...

AKESHAGONGWA HANA HAAYA ANAOTOKA NJE...NA UNAJUA KABISA HUYU ALIKUWA ANAGONGWA MDA SI MREFU...NA YEYE MACHO MAKAVUU...BILA HAAYA...

WAKATI MIMI MKE WANGU PAMOJA NI MKE HALALI WA NDOA KABISA...YAANI TUKIWA TUKO MAENEO YA HOME KWAO/KWETU LABDA HATA KAMA TUMEACHIWA CHUMBA TULALE WOTE, WOTE TUNAONA AIBU MFANO TUNAAMKA ASUBUHI TUNAPASWA KUOGA JANABA ILI TUSWALI...ILI KUEPUSHA HILO...TUNAONA HAAYA TUNAKUTANIA KWETU KWA AMANI...

ILA MIDADA YA SIKU YAANI MIMACHO MAKAVUUU...ILA DHAMBI YA UZINZI HAYO NDIO MADHARA YAKE...DHAMBI YA UZINZI HUONDOA HAAYA USONI KWA WANAWAKE NA NURU YA WEMA USONI KWA WANAUME..
Kunywa maji kwanza mkuu kuna kitu gani kimekutokea asubuhi yote hii hili povu si bure.
 
Vipi boss kwani unateseka?
Anataka wadada muache udhindhi maana thatha hivi mmekubuhu hamna haya wala soni machoni mwenu kutokana na dhambi mnadhofanya, ila kwa upande wa wakaka sisi hatuna shida tuendelee tu kuwaburudha magetoni kwetu maana mmedhidi viherehere.
 
WANAWAKE WAKIKAZA...NO UZINZI...
 
Zamani nakaa nyumba ya kupanga, demu wangu akija kwangu naenda hata kuoga naoga nae na watu wanaona asubuhi, ila nilikua sibadilishi wanawake...ni maisha yetu, sio unaficha unafiki wakati wanajua mnachofanya ndani, kama unachukia watu wanavyoishi maisha yao binafsi kunywa tu sumu
 
WANAWAKE WAKIKAZA...NO UZINZI...
Wanawake gani hao wa kukaza?
Labda washuke wengine kutoka mbinguni ila sio hawa kina Chausiku.
Kwanza kwa nini wakaze banaaa, Shehe kwani we utamu ushauchoka tayari?
 
Back
Top Bottom