Wamekata umeme karibu Dar nzima

Wamekata umeme karibu Dar nzima

chikutentema

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
7,730
Reaction score
5,011
Shame on you Tanesco na washirika wenu, hamtaficha uchafu kwa kukata umeme kwa hila
 
Hata huku Tunduma wamekata, looh!! Lakini nimekwenda kodisha jenereta na sasa naangalia kwa raha zangu ingawa kwa gharama!!
 
Kigoma uko fuuluuu....kama simu yako ina redio na una head phones weka usikilize.. .fanya mvinu mbadala upate huu mjadala.ni muhimu kila mtanzania asikie haya ile mwakane aamue bila kushurutishwa na mtu yoyote wapi ataweka karata yake.Tuliwe kwa Siti bin Mtevu bin nasafiri sana bin sijajiandaa bin chukueni taji lenu.Am sure we can.
 
hata huku kwetu mbagala hakuna umeme natumia kibatari kuangali escrow movie
 
Back
Top Bottom