dah nilijua kitanuka bungeni na umeme utakatwa ..ile nawasha ki-tv lisu anaongea nikaskia twaaa umeme katika..nikasema poah nikapanda boda boda had stand kuu ya bodaboda nikatega skio nikaanza kufuatilia binge kupitia redio za dereva bodaboda ..nikaona Mda unaenda umeme haurudi .ikabidi niingie gharama kununua earphones nijirejeshe nyumbani taratiibu huku nikiskiliza pumba za watetea ushenzi huku taifa lina angamiA..jamani mnafuatilia hususani wale tusio ishi karibu na ikulu,hosptal za rufaa,kambi za jeshi n.k mijadala hii msiwategemee sana Tanesco maana sakata lao ndo lipo mezani...kuwen na plan b km Car radio,solar power,generator , kwa wale aki a Mimi kumbuka kuweka simu yako I we full charge na ear phone