Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
UkitafakarI maneno na vilio vya wafuasi wa "mapapa" wa biashara ya mihadarati wengi wanatoa sababu mbili ya kwanza ni kuwa "Makonda has tahili kutangaza" ya pili "Sawa tunaunga mkono ila approach si sahihi".
Wanaenda mbali zaidi wanapotasha kuwa "kama uhusikI hata ukiona mtu amebeba tanI za mihadarati nyamaza kimya" Hawa wanasema haya wanajiita wanasheria nguli.
Ninaloshangaa hadi sasa hakuna hata mmoja aliyethibitisha kuwa hashirikI.
Pengine Shida hapa si kwamba waliotajwa hawashiriki bali sababu tu "aliyetangaza ni Makonda.