Elections 2010 Wameanza kuchakachua hapa

Mm nilikosa jina langu nimelia machozi. Kweli tunaonewa sana.

KWA NINI HUKUENDA KUHAKIKI JINA LAKO TANGU Juzi AU JANA.... WHY WAIT TILL LAST MINUTES..

ila na wewe usiondoke kituoni hadi upige kura!!!! mafanikio mema

Made in UDSM.

Hawasomi mpaka test au UE
 
kijana mmoja alinigusa sana leo. Alipoteza kadi yake ya kupigia kura jana, alikuja pale Nkrumah/seminar rooms na passport yake na alihifadhi namba ya kitambulisho chake kwenye simu.
Alijitahidi sana kuongea na wasimamizi lakini walisema haiwezekani.
Kilichonigusa ni yeye kutokubali kirahisi na akaamua kutafuta njia mbadala. Hayo mengine ni matokeo
 
Back
Top Bottom