Elections 2010 Wameanza kuchakachua hapa

Brandon

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
336
5
Jamani wameanza kuchakachua mapema majina yamechanganywa watu wanahangaika ovyo. Ila wanasema hawaondoki mpaka kieleweke. Mwamko upo wa hali ya juu. Mm nilikosa jina langu nimelia machozi. Kweli tunaonewa sana.
 
Pole! Kazi ya Ukombozi si lele mama. Kazana mwana wane!!
 
Jamani wameanza kuchakachua mapema majina yamechanganywa watu wanahangaika ovyo. Ila wanasema hawaondoki mpaka kieleweke. Mwamko upo wa hali ya juu. Mm nilikosa jina langu nimelia machozi. Kweli tunaonewa sana.
Sema kituo gani na location mkuu
 
Jamani wameanza kuchakachua mapema majina yamechanganywa watu wanahangaika ovyo. Ila wanasema hawaondoki mpaka kieleweke. Mwamko upo wa hali ya juu. Mm nilikosa jina langu nimelia machozi. Kweli tunaonewa sana.
mkuu, attitude ikiwa ya kuonewa, utaonewa tu na utalia machozi mengi sana.... tuliza ball, tafuta jina, usivunje amani... usitukane au kulalama sana... be patiernt na utasaidiwa, kumbuka wasimamizi ni watu pia na hurumua wanayo

your state of mind is key today
 
Jamani wameanza kuchakachua mapema majina yamechanganywa watu wanahangaika ovyo. Ila wanasema hawaondoki mpaka kieleweke. Mwamko upo wa hali ya juu. Mm nilikosa jina langu nimelia machozi. Kweli tunaonewa sana.

Kaka... Tulishaambiwa tukahakiki majina kabla au haukupata nafasi?
 
Majina nje yapo ila wanasema kitabu hakijafika eti wasubiri. Wengine wanaanza kukata tamaa.
 
Nilihakiki,mlangoni lipo ila ndani wanasema kitabu hakijafika. Yaani full mkanganyiko.

Am patient as ever.
 
Wakuu, i have never felt useful in my life kama leo. Am so excited,nimeshampigia dr na mnyika kura. You know this is me first vote toka nizaliwe.

Am sooooo hapiii
 
Bravo Brandon, that was a Golden Vote.
Sasa Rudisha majeshi nyuma usikae karibu na kituo wasije Green gurd wakaanzisha soo.
Usisahau kuwapa moyo watu wengine wote kuto kata tamaa.

Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu
 
brandon ni kama vile shauku ilikuwa kubwa sana lakini pia ulikuwa umejijengea kuwa unaweza kuchezewa 'faulo' ndo maana ulianza kupata kiwewe.

Hongera kwa kupiga kura kwa mara ya kwanza na pia kwa kuwa mvumilivu.

Watu wasipotulia mambo haya yatatokea sana
 
Nilikopigia kuna utulivu sana (Kata ya kilimanjaro- Moshi), nimeshaipa chadema kitu safi; urais, ubunge na udiwani
 
Huwezi amini mpaka sasa ninaemjua ni Mbunge wangu na Rais wangu ila diwani mpaka sasa simjui. Ila sina shaka nijuacho ni kuwa kwa ngazi zote nawapa CHADEMA.

Safari za hapa na pale zimenifanya nisijue diwani halafu sikubadili kituo changu cha kupigia kura
 
Back
Top Bottom