Kitu gani mkuu ? akili hii unayoulizia hapa tumia kukataa na kuachana nae,kwani lazima ?
Habari wana jf!da mwenzenu nipo kwenye mtego...nina msichana mmoj wa kizungu toka state ananitesa sana.....tulikua marafiki kupitia facebook miaka mitano nyuma akaniambia ananipenda sana na ipo siku atakuja africa kwa sababu yangu.......mwishoni mwa mwaka jana amekuja......tatizo ni moja tuu ananishawishi nijiunge kitu ambacho sikifahamu....na kinanitisha sana tukiwa zenji siku ya mkesha wa mwaka mpya niligundua tattoo ya no#666 kwenye ziwa nilipo uliza akasema nipunguze maswali na tangu siku hiyo ananishawishi vitu vya ajabu ajabu mala anataka nijiunge na vitu ambavyo sivielewi kiundani...anadai naweza kuwa na uwezo mkubwa sana ndani ya africa na ulimwengu ukanitambua......naombeni ushauli ndugu zangu....nijiunge na hii kitu

mbona haueleweki sasa wewe mwenyewe haujui hivyo anavyokushauri ujiunge navyo ni vitu gani?
Hapo hapo unataka wadau wakupe ushauri je wakupe ushauri wa nin? Sasa ikiwa kati ya majibu 2 au ushauri wa wadau moja wapo ushautekeleza kwa kukataa kujiunga na hicho kitu umeubakiza 1.
Je kama wadau watakushauri tofauti na uamuzi ambao umekwisha uchukua utakuwa tayari kuufuata?
Minakushauri kubali kwasababu hajajua ni mambo gani? Hayo.
Usije piga teke koba la fweza buree
mfisha maradhi mauti humuumbua, kuwa muwazi usaidiwe njia ya kutokea kwa sababu tayari ulishaingia bila kutulisha ndunguzo wa jf