dikembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,645
- 1,439
Namaste wana jamvi..
Nina rafiki yangu, yeye ni mtu mkubwa tu kwenye sector ya afya.
Jamaa alikua anafikia kwangu kila mara akija DSM, mimi niko single lakini nlikua na girlfriend.
Jamaa akajuana na huyo girl friend wangu kama mashemeji.
Muda ukawa umepita jamaa akapata mchumba akaoa na akajaaliwa kupata mtoto, ila kwa miaka ya hivi sasa jamaa akija DSM anafikia Hotel sio kwangu tena kama alivyozoea kwani huwa akifikia kwangu anasave sana.
Hata usafiri huwa anatumia wangu so anasave asilimia kubwa ya pesa.
Jana ndio nkagundua siri ya mtungi, mke wa jamaa alipost facbook kwenye wall ya yule binti, girl friend wangu kwa kumtusi matusi ambayo siwezi kuyaandika hapa, huwa hayatamkiki but kifupi alikua anamuonya aache kutembea na mume wake na mke wa jamaa alipost kupitia akaunti ya jamaa.
Kwa kweli nlipigwa na butwaa, sikutegemea kama rafiki yangu ataweza kunisaliti.
Kwa upande mwingine nimewasikitikia sana kwani jamaa kaaibika sana kwani marafiki zake wote wameona hiyo kashfa na kucoment kumpooza mke wa rafiki yangu.
Kweli hakuna urafiki wa kweli.