Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 15,825
- 40,342
ZitajeKuna njia nyingi za kuwadhibiti simba kuuwa sio best solution......
ZitajeKuna njia nyingi za kuwadhibiti simba kuuwa sio best solution......
mojawapo ni kutumia akili ambazo Mola ametupa kuwatawala wanyamaZitaje
Hayo maeneo wanyama wameishi tangu karne na wamasai pia vivyo hivyo mpaka pale yalipogeuzwa hifadhi.Hazikuanzishwa, zilikuwepo au kuwekewa mipaka, je wasiongezeke, na wamasai nao wakiongezeka unategemea wasijaze mbuga ama
Hii vita bora wamasai watolewe mbugani
Sio ukatili wamasai wameishi miaka na miaka na hao wanyama kwa njia hizo za asiliMbona huko na ukatili?
Waamishe wanyama wawaache wamasai na maeneo ya asili. Hao Simba wahamishiwe chatoSasa ni serikali ichague mbuga izidi kukaa humo simba wafe ama wawabadirishie wamasai maeneo
Vipi simba aliyekula watoto watatu juzi huko umasaini na wao waachwe tu mkuu?Kuna njia nyingi za kuwadhibiti simba kuuwa sio best solution......


Hii vita bora wamasai watolewe mbugani
Acha upumbavu, Chato inahusika vipi?Waamishe wanyama wawaache wamasai na maeneo ya asili. Hao Simba wahamishiwe chato
Ata dunian binadam tumiesh na wanyama vizuri mpaka sahv tunapoiharibu duniaHayo maeneo wanyama wameishi tangu karne na wamasai pia vivyo hivyo mpaka pale yalipogeuzwa hifadhi.
Kama zimeshakuwa hifadhi lazima ziwekewe udhibiti ila utaratibu mzuri wa kuwaondoa ufanyike mfano kuwahamishia maeneo mapya watakapoweza kuchunga mifugo yao na kulima isiwe kuwachomea maboma na kuwatoa kwa nguvu.
Wameanza kuish kama ukoo ila sahv ni kabila na baadae litakuwa si kabila tena, kumbuka zamani almost bara zima lilikuwa ni pori la wanyama na wanyama walikuwa wanafika miji ambayo sahv huwezi kuota wanafikaSio ukatili wamasai wameishi miaka na miaka na hao wanyama kwa njia hizo za asili
Ilisikitisha sana tena watoto wa darasa la tatuDaah hiyo ni sumu kabisa huko ndio hicho kijiji walichouawa watoto watatu wa familia moja na kuliwa...
Mbona povu chato kwa Babu yanguAcha upumbavu, Chato inahusika vipi?