Wamasai wauziwa bahari

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,489
Reaction score
5,251
Wamasai watano wakazi wa arusha,
jana waliuziwa viwanja baharini baada ya maji kupwa.
Wauzaji wa viwanja hivyo wanashikiliwa sentro, niko hapa nikiwa nipigwa na bumbuwazi maana nikiwa mdogo nlisha wahi kusikia habari ya msukuma kuuziwa bahari leo nimeyaona kwa macho
 
ubaya upo wapi si ndio wameuziwa beach au?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…