Wamasai waache kutia huruma bali wafuate sheria

je parle

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,882
3,620
Katika hii video fupi inayo onyesha purukushani za Masai na polisi pale beach. Alionekana Masai mmoja akimpiga rungu polisi na vurugu kuanzia hapo. Hii ni DHARAU kubwa sana kufanyiwa jeshi la polisi na badala yake kuna wanafki waliofumba macho wataona ni sawa na kuilaumu Zanzibar kwa ujumla wake.

WAMASAI ni watu waliobaki na tamaduni za kutafuta huruma kwa jamiii hawana jipya walilobakisha katika Dunia.

Ni watu walio mbali na ustaarabu lakin wao wanaona hiyo ni Mila na desturi Yao kutembea uchi na silaha Kila wakati.

Hii scenario ingekuwa bara huku na polisi kupigwa kama hivyo na raia sijui ingekuwaje mana angepata kesi kubwa asingeweza kuitatua kwanza angeenda selo akiwa hawez hata kutembea kwa kipigo cha mbwa koko.

Sasa hili la Masai limenisikitisha kwa kweli inaonekana hata hao askari wa Zanzibar ni dhaifu wenye ujasiri au hawa ni mgambo wale wanao fanya mazoezi ya kukimbia tu bila kuwa na self defence!
 
Back
Top Bottom