SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,803
Nyinyi ni vivutio vya utarii,mjini mnafata nini,kwenu poliniPamoja na kuiingizia nchi matrilioni kupitia utalii. Lakini pindi tu mtu anajua wewe ni mmasai anaanza dharau za ghafla. Kama vile umejinyea. Shida ni nini wandugu? Au kwa sababu tunavaa lubega? Sisi wote ni watanzania.
mnapenda kutania hampendi kutaniwaMkiacha kazi za magetini na kusuka kina dada kutengeneza shanga mfanye kazi za kiume kama kujenga kubeba zege hiv tutawaheshimu...
haha pole sana mkuuPamoja na kuiingizia nchi matrilioni kupitia utalii. Lakini pindi tu mtu anajua wewe ni mmasai anaanza dharau za ghafla. Kama vile umejinyea. Shida ni nini wandugu? Au kwa sababu tunavaa lubega? Sisi wote ni watanzania.