Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Nipo mitaa ya mianzini hapa Arusha naona kuna kundi KubwA la watoto wa kimasai na mifuko yao ya sandarusi wanaomba omba wapita njia
Ina maana wamasai washauza ng'ombe zao zote jamanii???
Ina maana wamasai washauza ng'ombe zao zote jamanii???