wamasai na mila ya kuchomeka mkuki ujanja wa kufaidi vya wenzao

Hii imenikumbusha kisa cha afande mmoja pale Kijitonyama Mabatini alikuwa mmasai na mkewe mmasai,jamaa alipiga marufuku mkewe kuvaa kimasai na yeye hakuvaa kimasai hata siku moja ili kujificha.Bahati mbaya siku moja mkewe akawasemesha wamasai wenzake kwa lugha ya kwao na wale jamaa kusikia hivyo kesho yake mmoja wao akaja na mkuki wake akauacha hapo mlangoni,basi afande mmasai kurudi nyumbani anakuta mkuki mlangoni..!! We...!!! Palichimbika hapo na wala hapakutosha mpaka mkuu wa kituo akaja kuamulia kwa kumuweka ndani mgoni.....na mmasai akahamishwa kituo.

ST.PM, ..... yaani mpaka mjini wanaendeleza mila??? Basi hii kiboko....!!!1
 
Wamasai huchomeka mkuki mlangoni mwa nyumba ya yeyote yule na kuduu na mke mtu yeyote aliyemo ndani.Wao mwanamke ni mali ya jumuiya na hutumika na wote.

Taratibu ni:
1.boy/dume la kimasai huchunguza kama mwenye mke ametoka ingalao umbali wa mita 200 (hairuhusiwi kumkuta mume mtu alafu utake kula tunda)
2.Huchomeka mkuki mlangoni kama ishara kuwa kuna mwanaume ndani anaongeza idadi ya watoto.
3.Mwenye mke hutakiwa kuzuga shambani au kichakani mpaka jamaa limalize shughuli.

Wana JF hi imekaaje?mila za kwenu zipoje?
si kuna watu wanatak mila zidumishwe-basi na hii ka vipi iendelee
 
unajua sikuwa nalijua hilo mwanzoni ila sjui itakuwaje dear!ntajitangazia nina ukimwi maeneo ya huko

Mhhhh sijui kama wanaoamini hizo mila wanaogopa ukimwi!!!Itabidi mkuki wa mzee uweke kambi getini/mlangoni muda wote:hand:
 
ingia tu ndani,chai iko tayari



he he he he he,watoto wanakaribia kurudi shule na hiki chumba kimoja itakuwa kazi,naomba ignore huo mkuki wa Uporoto uje tu ndani na wewe CPU.....:rain:

Tusije chomana mikuki humo ndani, maana Uporoto1 mmasai origino wakati mie ni Mzulu . . . lol
 
hee ingia jf ujifunze mengi.mimi ndio kwanza nayasikia humu,jamani na hao w.ke wanakubali,maana tendo hilo si inatakiwa uwe na feelings?au ndio unalala chali,mambo yanamalizwa.au ilikua miaka ya zamani?
 
ST.PM, ..... yaani mpaka mjini wanaendeleza mila??? Basi hii kiboko....!!!1

mnaotafuta wake/wame muwe makini sana kupeleleza mila. Mtajalishwa nyama za watu! Mimi nilipokuwa kijana nilikuwa very sensitive na bahadhi ya makabila na dini. Ukinambia jina lako fulani ambalo si la dini yangu, basi mawazo ya kuwa na wewe yanakata hapo hapo. Ukinambia kabila fulani (ambalo na wazazi wangu walishanikanya nalo) mawazo yangu kwako yanakata hapo hapo. Maana ukishapenda there is no way back.
 
pole wewe umesikia leo. Hii ipo toka long time kitambo. Mimi nimezaliwa Dsm na si wa huko na najua.
Muwe wadadisi.

hee ingia jf ujifunze mengi.mimi ndio kwanza nayasikia humu,jamani na hao w.ke wanakubali,maana tendo hilo si inatakiwa uwe na feelings?au ndio unalala chali,mambo yanamalizwa.au ilikua miaka ya zamani?
 
Mhhhh sijui kama wanaoamini hizo mila wanaogopa ukimwi!!!Itabidi mkuki wa mzee uweke kambi getini/mlangoni muda wote:hand:

Ndio maana lately wamasai wamekuwa wanapukutika kwa HIV sababu ya hii mila. Watoa elimu za ukimwi wameshatia timu huko labda itasaidia kuwaelimisha risk waliyonayo.
 
Back
Top Bottom