Breaking News | Afisa wa Uhandisi auawa katika vita Ukanda wa Kaskazini mwa Gaza

Ituzaingo Argentina

JF-Expert Member
Jun 20, 2020
1,870
2,176
Screenshot_20240103-200721_Gallery.jpg


Kwa msaada wa Google👇
Breaking News | Jeshi la Israel: Afisa wa Uhandisi auawa katika kitengo cha Yahlum katika vita katika Ukanda wa Kaskazini mwa Gaza

Source: Aljazeera

Screenshot_20240103-152133_Instagram.jpg

Breaking News |
Wanajeshi 15 wa Israel wameuawa siku mbili zilizopita

Source: Aljazeeramubasher

Mods, naomba uzi huu msiufute wala kuuhamisha, waislamu tunapitia kwenye wakati mgumu sana ndani ya hii forum.
 
Licha ya magaidi kuuwawa kwa wngi, Wewe ulidhani Hamasi hawajui kulenga?
 
Huyo ni mwanajeshi, vita ina adhari pande zote ila upande wenu mmezidi, aya nyie endeleeni kujifariji....
 
View attachment 2861165

Kwa msaada wa Google
Breaking News | Jeshi la Israel: Afisa wa Uhandisi auawa katika kitengo cha Yahlum katika vita katika Ukanda wa Kaskazini mwa Gaza

Source: Aljazeera

View attachment 2861160
Breaking News |
Wanajeshi 15 wa Israel wameuawa siku mbili zilizopita

Source: Aljazeeramubasher

Mods, naomba uzi huu msiufute wala kuuhamisha, waislamu tunapitia kwenye wakati mgumu sana ndani ya hii forum.
Hii ni taarifa itakayo furahiwa na waislamu wote mwenye uhaba wa maono ila taarifa ya kufinywa Kwa Hamas utasikia milio tu ya kwamba Israel anauwa wanawake na watoto.
 
Afisa Uhandisi ana cheo gani kikubwa ktk jeshi la Banaisrael! Wkt jana kauwawa kamanda mkuu kabisa wa Makamasi huko alikokimbilia Lebnan akiwaacha raia na mgambo wake wakiteseka huko Gaza! Second in command Saleh al Arouri.
 
Thread nyingi naleta humu zinafutwa au kuhamishwa, sio za kukashifu imani ya mtu wala kukejeli. But, it's okay hamna shida.
Unayataka mwenyewe, vita vya kikundi cha kigaidi na wazayuni inahusiana ni nini na waslamu.
Kule Morocco , wakurdi wanavyouliwa na Edogan hao siyo waislam? Kwa nini vita hii iumize waislam!
Hii siyo vita ya dini ya kiyahudi na uislam. Ndiyo maana wazifuta .
 
Back
Top Bottom