Galadudu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 2,304
- 780
Hatujachelewa ila tatizo tunaish kimungu mungu. Sisi ni maamuma waliokubuhu ndo maana tunazarauliwa. Nyambaff zetu
Aah...huo mstari wa mwisho.....mwnyw bana
Hatujachelewa ila tatizo tunaish kimungu mungu. Sisi ni maamuma waliokubuhu ndo maana tunazarauliwa. Nyambaff zetu
ni wote Sisi mkuu uiwekwa kikamilifu kwasabab wewe ni mwanaume halaf ukanunua tishet ukizan blaus kwa machingaAah...huo mstari wa mwisho.....mwnyw bana
ni wote Sisi mkuu uiwekwa kikamilifu kwasabab wewe ni mwanaume halaf ukanunua tishet ukizan blaus kwa machinga
hayo magari nayo ni msaada wa siku za nyuma, unadhani kuwa mengi nd tumeyanunua sisi. kuwa mtulivu pkea msaada mkuu Tanzania tunaweza kuchakachua tu hadi umri miss katoka 25 hadi 18
Sio hivo tu wanatudharau pia kuona Rais wetu anaenda kutibiwa kwao Marekani ilihali tuna madaktari wazalendo hapa TZ wanaotambulika duniani, tena anaenda kutibiwa katatizo kadogo ambako wala si ugonjwa!
Thubutuu! umwambie atibiwe bongo kama unataka kutangaza msiba wa kitaifa, watu watafanya kila namna na kutumia kila aina ya rushwa lengo wamdhuru tu. watu wamechoka na uozo anaoufanya.
Haya bwana!kwa hiyo mheshimiwa anajihami. Ina maana gani unapoteza imani na familia yako unaiamini familia ya jirani?kuna tatizo la msingi hapo!