Wamarekani wanatudharau sana!

Wamarekani wanatudharau sana!

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,856
Nimekaa nikafkri wamarekani watudharau sana, eti wanatuletea msaada wa vyandarua kama vya kuvulia samaki wanavyotumia wavuvi halamu,

ni kwanini wasituletee dawa ya kuangamiza kabsa vizalia vyote vya mbu wasababishao ungojwa wa malaria.

wale walevi, walizi wa usiku, walala nje pale kariakoo n.k wao watafanyaje,.?

misaada mingine na nyie serikali muwe mnafikiri mara mbili mbili,

hivyo vyandarua vina jambo.
 
A beggar has no choice.Ukiwa omba omba ni vizuri ukashukuru kwa kile kidogo unachopata kuliko kukosa.

Wamarekani wanasaidia karibu nchi zote duniani.

( Kwa hisani ya mtu wa marekani)
 
kwa uchafu tu unaozalishwa na nchi hii, hata iyo dawa ingeletwa ingeisha muda wake ndan ya masaa 2 tu.
 
Hivyo vyandaruwa havifai coz vinaingiza mbu.., hapa nilipo nina malaria...
 
Hivyo vyandaruwa havifai coz vinaingiza mbu.., hapa nilipo nina malaria...

Yaani mkuu hivyo vyandarua, huku kijijini wanatumia vijana kuvulia samaki kwenye mabwawa! yaani ni kero!!!
 
Muulize DHAIFU ile elimu aliyoipata enzi ya Nyerere iliyoitwa EDUCATION FOR SELF RELIANCE imemsaidiaje katika uongozi wake wa karibuni miaka kumi?
 
wanatupa vyandarua alafu sisi tunawapa dhahabu?! wazee wetu walipewa shanga wakawapa almasi.. Mungu atusaidie sana!!
 
Hatujachelewa ila tatizo tunaish kimungu mungu. Sisi ni maamuma waliokubuhu ndo maana tunazarauliwa. Nyambaff zetu
 
Binafsi sipendi tunavyosaidiwa,eti unakuta waziri anaenda kupokea magari 3 na pikipiki 5,wakati yeye na msafara wake magari walokuja nayo yanaupita huo msaada.
 
Nimekaa nikafkri wamarekani watudharau sana, eti wanatuletea msaada wa vyandarua kama vya kuvulia samaki wanavyotumia wavuvi halamu,

ni kwanini wasituletee dawa ya kuangamiza kabsa vizalia vyote vya mbu wasababishao ungojwa wa malaria.

wale walevi, walizi wa usiku, walala nje pale kariakoo n.k wao watafanyaje,.?

misaada mingine na nyie serikali muwe mnafikiri mara mbili mbili,

hivyo vyandarua vina jambo.

kwa nini hujaongea na rais wako kikwete kuhusu hili, kama at all limekukera maana wana ccm wanalifurahia!?
 
Alafu kuna watu duniani hapa kutwa nzima NI KUITETEA MAREKANI.
MAREKANI INAENDESHWA NA SERA ZA SATANIC SYSTEM.
 
Wabongo wana akili sana baada ya kuona vyandarua haviwasaidiii wakaamua kuvitumia kwa kukuzia kuku, hii nimeikuta Maneromango Kisarawe kwa mkulima kazungushia ili vifaranga wasiliwe na mwewe
 
Wabongo wana akili sana baada ya kuona vyandarua haviwasaidiii wakaamua kuvitumia kwa kukuzia kuku, hii nimeikuta Maneromango Kisarawe kwa mkulima kazungushia ili vifaranga wasiliwe na mwewe

Mkuu sina hakika kama kweli kuna mtu anavitumia hivyo vyandarua, uliyaona wewe basi kote ndio hivyo hivyo WAMEAMUA KUFUGIA VITOTO VYA BATA. MIMI MWENYEWE BINAFSI MPAKA LEO SIJAZIFUNGUA BADO NI MPYA.
 
Mkuu sina hakika kama kweli kuna mtu anavitumia hivyo vyandarua, uliyaona wewe basi kote ndio hivyo hivyo WAMEAMUA KUFUGIA VITOTO VYA BATA. MIMI MWENYEWE BINAFSI MPAKA LEO SIJAZIFUNGUA BADO NI MPYA.

mwanga lutila joo huku nakuita
 
Last edited by a moderator:
Binafsi sipendi tunavyosaidiwa,eti unakuta waziri anaenda kupokea magari 3 na pikipiki 5,wakati yeye na msafara wake magari walokuja nayo yanaupita huo msaada.
hayo magari nayo ni msaada wa siku za nyuma, unadhani kuwa mengi nd tumeyanunua sisi. kuwa mtulivu pkea msaada mkuu Tanzania tunaweza kuchakachua tu hadi umri miss katoka 25 hadi 18
 
Bora sie tuliwekea vifaranga visidonolewe na kunguru haa haa haa
 
Back
Top Bottom