Wamarekani hawa


Sio kila kitu cha kukcomment vingne viache vipite
 
Labda kwa biblia iliyochakachuliwa, lakini katika uislam nguzo mojawapo ya imani ni kuamini vitabu vyote vya mwenyezi mungu yaani torati, zaburi, injili na qur'an

Qur an umechukua vitabu vyote ndo ukaona hata uwe na bible la kale majibu yapo katika Qur an, waislamu hatumtambui jesus tu kama mtoto wa mungu.
 

Mkuu hatokuelewa huyo kashibishwa propaganda zisizo na kichwa wala miguu, isomeni qur an jamaan sio kukaa na kuamin kila kinachosemwa na vyombo vya habar vya nchi za kimagharibi
 
Lakini Fahamu Muislam si Ndugu zako Muislam atakuita kafr hadi Kiama Chake.... na ana chuki kwa wewe usiye Muislam ndivyo wanavyofundishwa... mtaelewana kama kuna maslai kwake na si vinginevyo.... hili lipo wazi...
Si kweli, nakupinga haya unayoyasema na ni kinyume na mafundisho ya Uislam.

Labda hapa JF lakini kwa maisha yetu ya Uswahilini hakuna hii michongo mnayotaka kutuletea.

Ujue kuna vitu vingi vinaendelea hapa, hasa vya kidini kwa kweli ni tofauti na maisha yetu tunayoishi kila siku Uswahilini hadi mimi huwa nashangaa kwa kweli!

Mimi hata siku moja sijawahi kufundishwa hivi vitu unavyovitamka hapa, na kwa kweli ni vitu vigeni sana kwa upande wangu.

Tatizo kuna watu wanaangalia zile kanda za midahalo matokeo yake zinawapotosha na kuuchukulia Uislam tofauti.

Na vile vile kuna watu ambao wanachanganya Siasa na Uislam na kwa lengo moja tu, la kutuharibia, kutupakazia
 
Mimi bado Allah na mungu wananichanganya ukisoma quran Kuna wakati inaonyesha ni wawili tofauti.

Kimatira ni vema sana kama utatoa maana ya mungu na allah kwa kadri ya uelewa wako,pili ungetuwekea hivyo vifungu vilivyokuchanga kutoka ndani ya Qur'an tuweze kukuelewesha.
 
Kimatira ni vema sana kama utatoa maana ya mungu na allah kwa kadri ya uelewa wako,pili ungetuwekea hivyo vifungu vilivyokuchanga kutoka ndani ya Qur'an tuweze kukuelewesha.
Kuna Mwenyezi Mngu na Mungu na Allah Ewe Muislam hebu Tatua.... hivi Vitatu
 
Sio kila kitu cha kukcomment vingne viache vipite

Wewe Unaamini huyo Dada Anapenda kweli Koran? Maana vitu Vingine vipo Wazi kabisa ni Mzugaji... siwezi acha changia sababu huu ni uzushwaji wa Uongo uliopitiliza.... Ndio aliyoyasema Nyerere ukimsikia mtu anakemea Rushwa mtizame Machoni utamjua kama kweli kadhamiria ukimuangalia tu utamjua Huyu...!
 

Tunaishi vizuri Mitaani ila ki ukweli ndio hivyo Mioyoni Waislam hawawapendi Wakristo zaidi ya Maslai tu... Hata Mwamedi alisema Waislam washirikiane na Wasio Waislam na Mayahudi katika Biashara na kuwapa uhuru wao wa Kuabudu ila Chuki ukitaka kuziona nenda Zenji huko ndio Balaa
 
Mimi naomba niishie hapa, siku njema
 
Daah we jamaa kweli polite
Una "tone" flani ya kujieleza kwa ustaarabu na unyenyekevu at the same time unafikisha Ujumbe uliotaka uwafikie walengwa
Big up mkuu...
 
Ukishajua kuwa Qur'an iliandaliwa ili kupinga baadhi ya mafundisho ya kikristu haita kupa shida tena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…